Series (Special thread)

Napenda sana series zenye umafia kama ya Into the badlands. Ni series gani yenye umafia na ngumi kwa sana?
Nimeangalia Lost, 24, Breaking bad, daredevil, bashee na Hanna lakini sijazielewa kabisa. Nitajie hata yenye maudhui kama ya Merlin angalau nijiliwaze. Series zenye story tu hazina ngumi huwa zinanichosha akili sana.
Tafuta Strike Back, humo muda wote kumechangamka na kuna minyanduano ya kutosha tu

Cha muhimu ni mikono yako kuwa mepesi kwenye kupunguza sauti!
 
The wire uangaliaji wake inabidi uwe ki deep-kikuda design. Na it's very confusing ukiangalia kitafuta hit moments.. kwa the wire the entire episode/Season is a hit moment.

First scene.. Investigation inaendelea, na watoto wamekaa nje, as a part of Investigation.. wanajamii wengine hawaonekani na wale wanaoonekana hawajali..kinachoendelea wako.namishe zao tu.

Hii inaonesha how casually this act of harm is perceived by many.. Ni kitu Cha kawaida..and part of the society that will probably corrupt the young ones and consume them before they even reach 25/30

Upande wa pili wa Barabara, far from the police investigation area.. kakaa mwana ..ambaye Hataonekana Tena kwenye(independent voice).. ameumizwa na kile kitendo..Akiwa anaongea na police( McNulty ) casually about what happened.. na wanakubaliana wote sio sawa kuuawa for petty issues but this america and It will happen no matter what..

Lugha inayotumika ni ya mtaani sana ndio maana cleverly Afisa McNulty anafanya tafsiri kwa kile anachosema huyu shahidi.. kukusaidia kuwa sehemu ya Baltimore community.

Mkuu.. vumilia ile sio.show, Ni Research Essay...na uandishi wake umetumia actors characters and conversation kuset mood and tone.. keep following it..utakuwa mind blown with it's chaos and simplicity..maana huo ndio Utamu wake.

DO NOt Stop.



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu ngoja niendelee nayo mdogo mdogo
 
Ila mbona kama sio nzuri!
Ile ni kama kwenda mji mpya.. pataanza kunoga ukiijua mitaa na vichochoro, kuwajua wenyeji na mwisho ukiwapata marafiki baaasi.

Uhusiano wa The Wire ni uhusiano wa Utaratibu. Haikupi raha siku hiyo hiyo go in mpk e4+ ndio utaanza kuelewa na kila kinachopita kitaanza make sense.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ile ni kama kwenda mji mpya.. pataanza kunoga ukiijua mitaa na vichochoro, kuwajua wenyeji na mwisho ukiwapata marafiki baaasi.

Uhusiano wa The Wire ni uhusiano wa Utaratibu. Haikupi raha siku hiyo hiyo go in mpk e4+ ndio utaanza kuelewa na kila kinachopita kitaanza make sense.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ok,ngoja nipige kazi!Nikitoka tu ninayo maana nimeshusha season 1 yote ila niliangalia episode 1 tu na usingizi fofofo!
 
Ok,ngoja nipige kazi!Nikitoka tu ninayo maana nimeshusha season 1 yote ila niliangalia episode 1 tu na usingizi fofofo!
Nilianza bila kumaliza episode 1 kama mara 4 hivi.. nakata naangalia series nyingine mpaka naimaliza majukwaa yote..

Until one day nilipomaliza e4 ..Leo hi am rewatching it the fourth time.. ni Kama kila mwaka unatamani ianze upya.. hasa s1-s4 it's amazing.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hii The Wire inaanza kuchanganya baada ya mda gani? Niko episode ya tatu ila sielewi elewi ...naona department kibao zinanichanganya
Before you watch the wire you need to know the series was inspired on how drug cartels did their business, communicated and plotted their territories it grows interesting with the change in communication technology. Always cartels seemed to outsmart the law enforcement agencies. Its more of an American Gangster but a series. If you will like this try also the Godfather of Harlem.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom