Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Daaaah! Basi pale ilikua mwanzo na hujui kua yule binti ambaye anajulikana kama Elizabeth Keen anayependa kufanya nae mission ana mume wake ambaye unamuona wa kawaida lkni yule ni hitman na katumwa pale kwa lengo maalumniliangalia mpaka pale anapomuua baba yake yule binti anayependa kufanya naye mission