Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Start UpWakubwa , natafuta series Kali ya maswala ya IT .Weka pembeni Silicon valley, Mr Robot, West world, IT crowd.
Start UpWakubwa , natafuta series Kali ya maswala ya IT .Weka pembeni Silicon valley, Mr Robot, West world, IT crowd.
Naitafuta torrent hiyo dark lakini siioni mkuuItafute Dark Broh. Ukishamaliza kuicheki, niambie umeona nini, lakini nina uhakika utaipenda tu, coz ninavyofuatilia huu uzi nimeone series nyingi ninazozikubali na wewe unazikubali pia. Ila naweza kusema tu, ingawa naifuatilia vyema Money Heist lakini ipo wazi kuwa Money Heist ni Netflix overrated series. Kwangu mimi Netflix hawajawahi tengeneza series kali kama hii kitu ya kuitwa Dark. Lakini huu ni mtazamo wangu binafsi.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjAAegQIAhAC&usg=AOvVaw0Jkbe0PhdtnUuE-KuyRi_WNaitafuta torrent hiyo dark lakini siioni mkuu
Chloe O' Brian...CTU
Chloe this is Jack, are we on secure channel?
Yes Jack, what do you need?
I need you to send me the coordinates of President Logan's safe house and Chloe please keep this between us...
Dah 24 is my forever best series.
DAH UNIKUMBUSHA SANA NA MBAYA ZAIDI ILIFUTIKA KWENYE FLASH YANGU
NITAIPAKUWAJE MAANA NAJARIBU ILA NAFELI MSAADA PLS
Yeah! Bonge la series but haikuendelezwa season 2 waliishia hapo hapoHii American Odyssey.. iko poa sana mkuu
Chloe muda wote kanunaChloe O' Brian...CTU
Chloe this is Jack, are we on secure channel?
Yes Jack, what do you need?
I need you to send me the coordinates of President Logan's safe house and Chloe please keep this between us...
Dah 24 is my forever best series.
Chloe muda wote kanuna
Huo mkwara lazima useme“You probably don’t think I could force this towel down your throat, but trust me I can. All the way. Except that I’d hold onto this little bit at the end. When your stomach starts to digest the towel, I pull it out. Taking your stomach lining with it. Most people probably take about a week to die. It’s very painful.”
Jack Bauer baba lao
Embu iangalie ingorbenable alafu unipe mrejeshoSo unataka kusema ni kali kuliko money heist maana ukitaja series za Netflix ukifikiri haraka haraka money heist ndo inakuja kwenye vichwa vya watu?
link pls chiefIPO mkuu kwenye o2 series