Series (Special thread)

Series (Special thread)

Series zoote zitakuja kuhusu anti terrorism lakini kwa strike back zitakaa na kusubiri. Wale jamaa hawana maongezi mengi. Ni chuma chuma. Gun zinapigwa sio kitoto. Series nyingine unakuta ni story kama episod 2 mfululizo afu ikija action ni ya dakika 8.
Emu wadau tutajiane series zenye hadhi ya STRIKE BACK. Mimi napenda sana action, though uwezo mkubwa wa kusikiliza strategic story kwenye ant terrorism nazo napenda na ninao.
Nahisi huijui Jack Ryan maana season 1 ndo inadeal na anti terrorism but season 2 ni tofauti inadeal na mission nyingine kabisa na ndo kitu kinachoendelea duniani asa hivi nchi kubwa zinakimbilia amerika kusini asa nchi ya Venezuela kwa utajiri wa maliasili.
Kuhusu strike back ni nzuri kuliko zote sio kweli ingawa mim ni mpenzi wa strike back since day one mpka Leo nipo kwenye s08. Kikubwa kinachoibeba strike back ni action kuanzia mwanzo wa series mpka mwisho yaani kinachapika hadi raha na unaweza kuangalia strike kwa kumute sauti au mtu asiyejua kiingereza akaangalia Ila sio kama homeland, Jack Ryan, Fauda na zingine nyingi
 
Tunasubiri Dark season 3 wikiend hii
First German Netflix series
Kama bado hauja iangalia itafute
cadb2508-06c3-4f0e-a31e-b8c870402344.jpg
 
MV5BZWEyM2U5ZTItMTFiYy00NjZlLWFjYzItNzBiMjkxNDRhNTUyXkEyXkFqcGdeQXVyODk4OTc3MTY@._V1_UY1200_CR...jpg

Kuna hii amazon original -scifi comedy- inayohusu dunia ambayo mtu kabla hajafa ana chance ya kuchagua wapi anataka kuishi baada ya kufa.
Kuna kampuni zinatoa hiyo ya kuwaupload wateja wao kwenye hizo virtual world na zina range kulingana na uwezo wako

Ni show moja so funny.Utaenjoy😄
 
MV5BOWYyNjA5MmQtNjRiOC00OTgzLTk1ZjEtZDE0N2YyYjI5YTUxXkEyXkFqcGdeQXVyMTkxNjUyNQ@@._V1_.jpg
1*2J2Lhl2j0RjVAsF4TFjuoQ.jpeg
mdg-1.jpg

Hii inahusu jamaa(liam hemworth) ambaye ni mgonjwa wa kansa,katika harakati ya kumuandalia familia yake anaingia kwenye game ambaye yeye anawindwa na watu na kila baada ya saa kupita hela inaingia kwenye account yake.

*Kila episode ina chini ya dakika 10,yah chini ya dakika 10 na ina episode 15
Kwahiyo ndani ya masaa matatu unaua season 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom