Series (Special thread)

Series (Special thread)

Most underrated series of all time
Band of brothers
Sopranos
Punisher
The wire
Dexter
Ntaendlea nkizikumbuka, nmewatch top 100 series of all time nyingi nasahau
 
Kuna Series watu hawaitaji taji ya Colony

Ni series moja kali sana
Tangu lini mashabiki wa manure wakajua series kali wewe?? Kukuona mzigo unaujua wewe mwenyewe mujue so mkali..(utani mze)

Btw iyo arakati ni qali kinoma ..fanya namna niupate mze baba..
 
Tatizo upo mbali, ila ni bonge la series

Mzigo upo, ingia Google, Andika Index of:Colony

Shusha mzigo tani yako

Leo Watford lazima akunyooshe
Tangu lini mashabiki wa manure wakajua series kali wewe?? Kukuona mzigo unaujua wewe mwenyewe mujue so mkali..(utani mze)

Btw iyo arakati ni qali kinoma ..fanya namna niupate mze baba..
 
Attachments

  • Screenshot_20200704-191511.png
    Screenshot_20200704-191511.png
    349.2 KB · Views: 15
Huyu jamaa alikuwa kwenye siries ya the wire

Season 1 ilikuwa POA Sana
Season 2 ilinichukua zaidi ya mwezi kuimaliza kila nikiicheki ilikuwa nachapa usingizi
Hata series ya SUITS yupo akiwa anaigiza kama baba ake na mdada mmoja anaitwa Meghan markel ( ambaye ni mke wa prince Harry wa uingereza).
 
Mdau...kama hutojali tupia hadhari hapa hyo link
Must see series top imdb
When they see us
zerozerozero
The spy
Fauda
Gangs of London
Ntatoa link ya telegram PM kuzipata izo series HD quality kwa walio interested
 
Tatizo upo mbali, ila ni bonge la series

Mzigo upo, ingia Google, Andika Index of:Colony

Shusha mzigo tani yako

Leo Watford lazima akunyooshe
Mkuu kwa njia hii naweza nikapakua na subtitles yake moja kwa moja??
 
Hapana, subtitles unaingia tu Google unaandika, mfano colony season 1 subtitles, zinakuja unapakua

Halafu unakuja ku merge kwa kutumia ka program flani hivi kanaitwa mkvmerge kama sikosei, cheki YouTube jinsi ya kuweka subtitles kwenye movie au series ni simple tu

Pamoja mkuu
 
Wakuu naombeni link ya Dark, maana kila nikisearch torrent siikuti!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom