Series (Special thread)

Series (Special thread)

uzuri ni kila season imejaribu kuangazia zaidi muelekeo wa siasa za kimagharibi..
  1. vita ya ugaidi
  2. mapambano ya kukwapua rasilimali kwa mataifa masikini kwa kujificha kwenye mwamvuli wa kupigania demokrasia
Umeelezea vizuri mkuu na kitu kinachofanya niipende hii series
 
Corona mkuu imeharibu ratiba nyingi za series maana kuna series zingine kama the blacklist s07 episode ya mwisho wamechanganya na animation ilimradi mzigo uishe
blacklist ilinishinda, yule mzee akili nyingi Raymond Reddington amekuwa kama steringi wa kihindi (nyimbo zote nzuri anaimba yeye)
 
blacklist ilinishinda, yule mzee akili nyingi Raymond Reddington amekuwa kama steringi wa kihindi (nyimbo zote nzuri anaimba yeye)
Anhaa! Siku zote naheshimu maoni ya mtu Ila ukitaja blacklist kama umeangalia mwanzo basi huwezi elewa maana hapo umeandika yule ni Raymond Reddington lakini yule sio Raymond Reddington na hajulikani ni nani?, Na kwanini anashirikiana na baba yake Katarina Rostova ambaye baadae anarudi kutoka mafichoni na mission zote anafanya kutanua empire yake lakini kuna zingine zinafail Sasa utasemaje ni kama sterling wa kihindi?
 
Kuna mwenye updates za orzak season 4?
ir9sigiWkMVBLANdmJEqWV-1200-80.jpg
 
upo sahihi....sijui huko mbeleni iliendeleaje
Basi hukuelewa iyo series man yule Red anawapa mission wale FBI ili yeye mambo yake yaende na ukichunguza baade zile missions nyingi alikua anaua competitors wake kama yule aliyegundua mifupa ya Reddington mwenyewe, missions za kukuza empire yake na kujua ukweli na mwisho wa siku wale watu waliokua wakikamatwa anawachukua kutimiza lengo lake ambalo halijulikani hadi Sasa.
So nahisi humu wengi wanafail Sana kuangalia series na kuna mtu nyuma alisema humu make sure series isikupite na uielewe
 
Anhaa! Siku zote naheshimu maoni ya mtu Ila ukitaja blacklist kama umeangalia mwanzo basi huwezi elewa maana hapo umeandika yule ni Raymond Reddington lakini yule sio Raymond Reddington na hajulikani ni nani?, Na kwanini anashirikiana na baba yake Katarina Rostova ambaye baadae anarudi kutoka mafichoni na mission zote anafanya kutanua empire yake lakini kuna zingine zinafail Sasa utasemaje ni kama sterling wa kihindi?
ebwana weeee kumbe jamaa ni fyekero
duh! unanishawishi niitafute tena
 
Hii nmeanza episode ya kwanza naona maruerue
Inakaugumu flani kuuelewa
Ngoja nikupe concept
Hii inausiana na maswala ya time travel, na familia 4 yaani (Khanwalds, nielsen, Tiedemans na dopplers)
, ambazo zipo connected kwenye cycle ya miaka 33, hapo inabidi ucheze na hiyo miaka Sasa 2019, 1986, 2053, na kusafiri ndani hiyo miaka iliwezeshwa na chama ch Siri Cha time Traveller winden kinaitwa sicmundus kilichogundua paths kwenye, Hilo cave,
Mkuu komaa na siries nikikuhadithia hautainjoi inabidi uangalie mwenyewe.
 
au ukutane na series zenye kuangazia ndani yake maisha ya gypsy kama:
  • peaky blinders
  • gangs of london
ni mwendo wa vurugu
Izo ni series nzuri Ila kuna watu wanaponda asa iyo peaky blinders Ila tu ni vile anataka vitu gani viwepo kwenye series yake na ndo maana kuna genres tofauti tofauti ili kila mtu apende atakacho huwezi amini hapa naangalia The walking dead season 10 na pia hii watu waliangalia hii wakasema inaua mazombi tu lkni iyo sio kilichomo humo ni kuuana wenyewe kwa wenyewe kwenye kugombea vyakula na makazi kuliko kupambana na mazombi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom