Ma Alliens walikuja duniani (Marekani) wakaweka Utawala wa binadamu wao wakiwa huko kwenye sayari yao
Baadhi ya binadamu (hawa waliitwa resistance) wakawa wanapinga kutawaliwa na Alliens hivyo wakawa wanawashambulia hawa wenzao/Serikali iliyopo madarakani walioitwa collaborators
Wakati huo huo resistance wakawa wana makundi tofauti na sera tofauti tofauti hivyo sometime wakawa wanapambana wao kwa wao.
Kwenye haya makoloni (majimbo kama LA, Seattle n.k.) pamoja na kuwa na majeshi ya binadamu kuna drones za aliens, Wananchi wakizingua au resistance wakizingua zinakuja kuwaua, ikitoa risasi inasambaratisha mwili kama bomu vile. Pia kuna ukuta mkubwa sana unaotenganisha kati ya Colony moja na jingine.
Baadae inakuja kubainika kuwa hawa Alliens kumbe wamekuja duniani na chanzo chake ni kuandaa mazingira ya kupigana na madui zao ambao nao wanatoka sayari nyingine
Baadae inaonekana kama resistance wanakuwa upande wa hao viumbe wengine na wale collaborators wanakuwa upande wa Alliens
Kuna Sara Tancred wa Prison Break, mke wa Sawyer wa Lost, kuna mwamba anaitwa Broussard wote wamezitendea haki nafasi zao
Ipo season ya 3 ndio tunasubiri ya 4 mkuu, icheki utaipenda tu