Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hiyo game of thrones wengi wanasifu ila niliangalia pale mwanzoni tu nikaona itaniboa tu
inahitaji patience sana coz inavoanza wale characters ambao unawaona wewe ndo main wote wanakufa
ila ni bonge la series kama hujui inataka uvumilivu na focus tu
 
Iko na strong adult content
Weka mbali na watotoView attachment 1474587
Yeah! Kweli mzee Ila kuna kitu kimoja wengi tunashindwa kujua wenzetu wanajua asilimia kubwa ya watu wanapenda migongano so series nyingi mwanzo zinakua zina scenes nyingi za adult content bt at the end zinapunguzwa chunguza hili kwenye power, Game of thrones na n.k
 
Tofauti yetu na wao ni kwamba sisi tupo kama mbuni anayeficha kichwa kichakani huku mwili mzima ukiwa nje halafu anaamini ameshajificha! Orange is a New Black wao wanaelezea uhalisia uliopo kwenye magereza yote; iwe ya Marekani au Afrika! Ikiwa hata shule zetu za boarding za kike, wasichana kwa wasichana wanashiriki mapenzi ya jinsia moja; what about kwenye magereza yetu?!

Of course Orange is a New Black pamoja na Lock Up zimetawaliwa sana na hayo mambo ambayo ni kweli pia NetFlix wanapenda sana hayo lakini linapokuja suala la magereza, ule ndo uhalisia wenyewe labda tujifanye tu kwetu hayapo na hivyo kuifanya fasihi yetu ishindwe kutekeleza moja ya dhima zake muhimu kabisa, ambayo ni kuonesha uovu uliopo kwenye jamii ili hatimae jamii na mamlaka zichukue hatua! Netflix niliwaona wapumbavu wanapojaribu kuingiza homosexuality hadi kwenye Money Heist! I bet wafanya maamuzi wa NetFlix watakuwa ni waliberali waliokubuhu kiasi cha kuingiza mambo ya homesexuality kila filamu/show na pasipo na sababu ya msingi.
Kweli kwa kiasi fulani Ila kuna vitu wamepika mzee na ni ngumu hapa Africa kwa mfano yule jamaa ana mke na mtoto mmoja ananwambia mkewe yeye shoga na anaamua kubadili jinsia kua mwanamke niambie hapo segerea anaingia kwa ID gani? Inayomtambulisha kama mwanamke au mwanaume? Na kweli kibongo tutampeleka gereza la kike? So kuna vitu vipo hatukatai Ila kuna vitu vinaharibu uhalisia kutokana na kuiga vitu vya mbele ndo maana angalia tabia za wamama wa zamani ambao asa hivi wana wajukuu na wake zetu au dada zetu wa asa hivi utagundua kuna utofauti mkubwa sana wa lyfstyle na hiyo wazungu wanafanya ivo ili vitu vyao viuzike zaidi kama midoli ya kusex, dawa za kuongeza nguvu, mafuta ya kuingiliana kinyume na n.k
 
We unaejua kingereza, una elimu gan?, umesoma wapi,? , una kaz gan? Una biashara gan,? Una nyumba ngap? Una gar ngap? Una pesa kiasi gan? $€$¥¥₩₩#@ wewe.

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
Hata mama yako akiona hayo maswali uliouliza atagundua hujakua na hawezi kua proud kwamba ana mwanaume bali mtoto mwenye jinsia ya kiume ambayo hata magay wanayo.
Siwezi nikakupa status yangu Ila vitu ulivyovitaja haviendani na kujua kiingereza
 
Kweli kwa kiasi fulani Ila kuna vitu wamepika mzee na ni ngumu hapa Africa kwa mfano yule jamaa ana mke na mtoto mmoja ananwambia mkewe yeye shoga na anaamua kubadili jinsia kua mwanamke niambie hapo segerea anaingia kwa ID gani? Inayomtambulisha kama mwanamke au mwanaume? Na kweli kibongo tutampeleka gereza la kike? So kuna vitu vipo hatukatai Ila kuna vitu vinaharibu uhalisia kutokana na kuiga vitu vya mbele ndo maana angalia tabia za wamama wa zamani ambao asa hivi wana wajukuu na wake zetu au dada zetu wa asa hivi utagundua kuna utofauti mkubwa sana wa lyfstyle na hiyo wazungu wanafanya ivo ili vitu vyao viuzike zaidi kama midoli ya kusex, dawa za kuongeza nguvu, mafuta ya kuingiliana kinyume na n.k
Sijui unamzungumzia jamaa gani huyo lakini kama unamzungumzia Lerven Cox anayecheza kama Sophia ambae anaonekana ni mwanamke huku sauti ya kidume, pale hakuna walichopika kwa mazingira yao! Leverne Cox ni transgender na yule anayeonekana kwenye background story anayecheza kama Marcus na kubadili jinsia to Sophia; yule sio yeye bali ni kaka yake ambae ni pacha wake. So, ile transformation from a black dude to Sophia ndo maisha halisi ya Sophia ambae wakati anazaliwa birth certificate jinsia ilikuwa ni M, na enzi za utoto wake alilelewa kama mwanaume. Alipofika kwenye 20's ndipo akafanya ile transformation na kuamua kuishi kama mwanamke!

So, unless kama unamzungumzia mwingine lakini kama ni Sophia, NetFlix hakuna walichopika ingawaje bado tatizo ni lile lile la NetFlix kupenda ku-promote LGBT and Homosexuality. Hapo nikiwa na maana kwamba, kama wasingekuwa ni promoters wa LGBT, wala hawakuwa na sababu ya kuonesha ile transformation kama ilivyo kwa Big Boo ambae ukimuona tu kwenye ile series, tayari unapata mashaka kama ni mwanamke kweli, au vp manake moja kwa moja linaonekana dume, na hata ktk maisha halisi, lenyewe ni gay, na mpenzi wake ni mwanamke mwenzake!
 
Hata mama yako akiona hayo maswali uliouliza atagundua hujakua na hawezi kua proud kwamba ana mwanaume bali mtoto mwenye jinsia ya kiume ambayo hata magay wanayo.
Siwezi nikakupa status yangu Ila vitu ulivyovitaja haviendani na kujua kiingereza
Hili ndo tatzo la kutumia tecno,JF yenyewe umejiunga 2019, baada ya kumaliza shule....
, inawezekana kbsa mama yako ndo mke wangu alafu hujui unabishana na baba yako, kisailogia kabsa inaonesha ww ni mtu ambae unategemea kukuta nyumban kimepikwa ule, alafu umuombe mama ako pesa ununue bundle uje jf kubishana. Narudia tena, una status gan? , una hela kiasi gan, una nyumba ngap?, una gar ngapi, una tumia simu ya aina gan. Tuanzie hapo kupima thaman yako. Maana nina weza kujikuta nabishana na dr.kumbuka au juma lokole.

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
 
Msaada kwa yeyete anayejua app ninayoweza kupakulia series maana cyberflix imezingua kama terarium tv
 
Sijui unamzungumzia jamaa gani huyo lakini kama unamzungumzia Lerven Cox anayecheza kama Sophia ambae anaonekana ni mwanamke huku sauti ya kidume, pale hakuna walichopika kwa mazingira yao! Leverne Cox ni transgender na yule anayeonekana kwenye background story anayecheza kama Marcus na kubadili jinsia to Sophia; yule sio yeye bali ni kaka yake ambae ni pacha wake. So, ile transformation from a black dude to Sophia ndo maisha halisi ya Sophia ambae wakati anazaliwa birth certificate jinsia ilikuwa ni M, na enzi za utoto wake alilelewa kama mwanaume. Alipofika kwenye 20's ndipo akafanya ile transformation na kuamua kuishi kama mwanamke!

So, unless kama unamzungumzia mwingine lakini kama ni Sophia, NetFlix hakuna walichopika ingawaje bado tatizo ni lile lile la NetFlix kupenda ku-promote LGBT and Homosexuality. Hapo nikiwa na maana kwamba, kama wasingekuwa ni promoters wa LGBT, wala hawakuwa na sababu ya kuonesha ile transformation kama ilivyo kwa Big Boo ambae ukimuona tu kwenye ile series, tayari unapata mashaka kama ni mwanamke kweli, au vp manake moja kwa moja linaonekana dume, na hata ktk maisha halisi, lenyewe ni gay, na mpenzi wake ni mwanamke mwenzake!
Hujanielewa man nini nilimaanisha kuhusu uhalisia wa iyo transgender na huku kwetu Ila haina noma man cha msingi umekubaliana na mim kuhusu hao kupromote ushoga
 
Hili ndo tatzo la kutumia tecno,JF yenyewe umejiunga 2019, baada ya kumaliza shule....
, inawezekana kbsa mama yako ndo mke wangu alafu hujui unabishana na baba yako, kisailogia kabsa inaonesha ww ni mtu ambae unategemea kukuta nyumban kimepikwa ule, alafu umuombe mama ako pesa ununue bundle uje jf kubishana. Narudia tena, una status gan? , una hela kiasi gan, una nyumba ngap?, una gar ngapi, una tumia simu ya aina gan. Tuanzie hapo kupima thaman yako. Maana nina weza kujikuta nabishana na dr.kumbuka au juma lokole.

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
Umeona uwezo wako sasa wa kufikiri ulivyomdogo kujiunga jf mwaka jana haimaniishi nina ID moja mdogo wangu.
Alafu imekuuma sana 😆😆😆 coz mwanaume haandiki maneno mengi kama kitu hakijamuuma.
Sorry man kwa hilo ila ukweli hujui na huelewi kiingereza na uwezo wako wa kufikiri mdogo.
AM DONE
 
Umeona uwezo wako sasa wa kufikiri ulivyomdogo kujiunga jf mwaka jana haimaniishi nina ID moja mdogo wangu.
Alafu imekuuma sana coz mwanaume haandiki maneno mengi kama kitu hakijamuuma.
Sorry man kwa hilo ila ukweli hujui na huelewi kiingereza na uwezo wako wa kufikiri mdogo.
AM DONE
Juma lokole acha usumbufu

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom