Series (Special thread)

Netflix wanatabia ya kuua actors wazuri kwenye siries zao sijui kwanini, wameniuzi Sana walivyo muondoa Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro ukianza kuangalia hii season 1 unaona kwamba hii story tunasimuliwa na tokyo na wachambuz wa series dunian wanasema kwamba kwamba karibia genge lote la professor watukufa atakayebak ni tokyo peke yak ndo apo alikuwa anawasimulia polis mchezo mzim waliokuwa wanaufanya kwahiy hii money heist inawez kweny hadi season ya 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya box umeweka maembe 7 na ukatoa maembe yote ukaweka chini na pembeni kuna mabox 6 na yote unatakiwa uweke maembe je utaweka maembe mangapi kwenye kila box na hapo unamaembe 7?
 
Naombeni site ya ku download series wakuu

Nimejaribu kutumia Todaytvseries, niki click sehemu iliyoandikwa Download vinakuja vitu vingine (sijui ndio ads?)

Nipeni maujanja ya kudownload, hii Corona bila series maisha yatakuwa magumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na movie sio kipaji chako ..wewe nenda katazame kile kikundi chenu cha wacheza ngoma you tube ..tafuta ile gemu tunawalala nne bila angalia tena

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya box umeweka maembe 7 na ukatoa maembe yote ukaweka chini na pembeni kuna mabox 6 na yote unatakiwa uweke maembe je utaweka maembe mangapi kwenye kila box na hapo unamaembe 7?
Embu acha ufala bana ..apo ndani ya box utatoa ayo maembe sita utaweka kwenye Kila box lake. Then Kila box litakuwa na embe lake.

Mambo magumu mtaani unatuletea maswali ya kipuuzi apa alaahh (jokes)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DARK iko POA Sana
Screenshot_2020-04-16-20-34-00-22.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia series nyingi nzuri! Ila hizi ni nzuri zaidi!
Dexter

Salio dead -hususan S1-S7

Mandalorian

Treadstone

Money heist

The 100

Blacklist

Into the badland

Dare devil

See

Hanna

Travelers

Manifest

Queen of the south

The son

West world

Nakuahidi ukiziangalia hizi hupotezi muda wako bure! Utafurahia!
 
Sorry! Ya pili ni walking dead!
 
Hii kitu hata mm nimejiuliza, series inakua kama ya kikorea sasas

Sent using Jamii Forums mobile app
Guys!!!
Hivi huwa mnatazamaje series!?
Mbona ukitazama kwa utulivu ni rahisi sana kujua kwanini jamaa hawakumtumia Gavana wa benki kujua ilipo Panic room.
Kama umetazama vizuri utaelewa kuwa Gavana ni mtu mwenye msimamo mkali, hayupo tayari kuwasaidia jamaa kukamilisha lengo lao (yaani yupo tayari hata kupoteza maisha), mara ya kwanza walijaribu kumuomba/kumlazimisha awasaidie kufungua "chemba" iliyokuwa na nyaraka za siri za Serikali lakini ilishindikana, tena ilibaki kidogo tu Gavana apoteze maisha.
Profesa alikuwa anajua kuwa Gavana hayuko tayari kuwapa ushirikiano, ndio maana aliamua kuumiza kichwa mwenyewe.

Kama series nyepesi kama hii inawashinda kuelewa, vipi mkitazama series ya Lost au series ya Westworld!?
Nadhani mtaishia njiani wazee!!!
 
labda kama nilielewa vibaya kwenye plan ya Berlin alisema gavana ni mtu mbishi sana sio mtu anayeweza kukupa ushirikiano kirahisi....

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi.
Wewe unajua kutazama series.
Haupotezagi muda wako.
Unajua kuna kutazama series na kupoteza muda.
Kutazama series ni kuhakikisha hakuna episode inapita bila kuielewa, hakuna tukio linakupita katika kila episode, zingatia maongezi yote yanayofanyika baina ya wahusika wakuu, lisikupite neno hata moja.
 
Guys!!!
Hivi huwa mnatazamaje series!?
Mbona ukitazama kwa utulivu ni rahisi sana kujua kwanini jamaa hawakumtumia Gavana wa benki kujua ilipo Panic room.
Kama umetazama vizuri utaelewa kuwa Gavana ni mtu mwenye msimamo mkali, hayupo tayari kuwasaidia jamaa kukamilisha lengo lao (yaani yupo tayari hata kupoteza maisha), mara ya kwanza walijaribu kumuomba/kumlazimisha awasaidie kufungua "chemba" iliyokuwa na nyaraka za siri za Serikali lakini ilishindikana, tena ilibaki kidogo tu Gavana apoteze maisha.
Profesa alikuwa anajua kuwa Gavana hayuko tayari kuwapa ushirikiano, ndio maana aliamua kuumiza kichwa mwenyewe.

Kama series nyepesi kama hii inawashinda kuelewa, vipi mkitazama series ya Lost au series ya Westworld!?
Nadhani mtaishia njiani wazee!!!
Westworld inahitaji utulivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom