SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Fuata maelekezo ya jamaa hapo mzigo wote upo Telegram. Na link ya channel nimeiweka hapo juu.
Fuata maelekezo ya jamaa hapo mzigo wote upo Telegram. Na link ya channel nimeiweka hapo juu.
Money heist s1-4
tuko pamoja mkuuShukrani sana hapa ni mwendo wa bando la halotel na external iwe na space tu.
ndio mkuu
frshMkuu binafsi nilikomaa mno lakini sikubahatika kuipata yote. Nilikuja kubahatisha kwenye external ya jamaa angu nikai copy.
Money heist s1-4
Treadstone s1
Banshee s3-4
Sex education s1
Witcher s1
The chi s1-2
See s1
Nipo maeneo ya kwa waswanu bar-njia ya kuelekea st.john
Ingia telegram search TV SERIESX jamaa kaweka mzigo wote kuanzia 1 hadi 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Money heist s1-4
Treadstone s1
Banshee s3-4
Sex education s1
Witcher s1
The chi s1-2
See s1
Poa mkuuNimeibiwa pc wiki iliyopita nilikua na series hizi zote, ngoja nitafute pc ya kuzugia alafu nikutafute unisaidie baadhi ya series na mm ntakupa ntakazokua nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli kwa sababu ingekuwa kweli ingekuwepo Netflix. Ukweli pekee ni uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa hiyo Part 5 kutokana na mafanikio ya series yenyewe huku mwisho wake (Part 4) ikitoa room kubwa ya mwendelezo.
yap walikuwa washa order s5 probably mpaka s6 ko wanasikilizia tu s5 huenda ikawa released mwisho wa mwaka au mwanzon mwa 2021
Sio kweli kwa sababu ingekuwa kweli ingekuwepo Netflix. Ukweli pekee ni uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa hiyo Part 5 kutokana na mafanikio ya series yenyewe huku mwisho wake (Part 4) ikitoa room kubwa ya mwendelezo.
Nilitakaa kuicha mwanzoniOzark nilianza kuiangalia nikaona imepoa sana, nimeiweka kiporo... Breaking bad ni kali mkuu, sema inahitaj uvumilivu kidogo mwanzo imepoa
Kwa sasa napata wakati mgum wa Ku download series,kipindi cha nyuma nilikuwa nashusha kwa PC kupitia limetorrent lkn sasa inagoma,msaada site ya kudownload series wadau
Sent using Jamii Forums mobile app