Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wakali wa hizi kazi
FB_IMG_15873230497243146.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ukitaka kuiba pesa unamtafuta professor anakusetia mpango paah baada ya mpango kutiki uko zako unakula bata unakamatwa kama RIO unapigwa ban ya maisha jela ile unaingia jela unakutana na Michael huyu hapa unampa mpango mwana mimi nataka nikazitumbue pesa sitaki kukaa hapa Michael anakuangalia anacheka anakwambia nipe week niset mipango baada ya wiki muhuni unatafutwa kila mahari unakimbilia zako Mexico huku unajificha. Mpunga umebaki kidogo hujui cha kufanya anatokea mtu kama TYLION LANNISTER anakushauli uza madawa utakua drug lord unamuuliza hayo madawa utayapata wapi anakwambia subil anapiga simu baada ya kama masaa 2 anatokea mzee mwenye miwani na wenge fulani kama mtu mwenye haraka sana TYLION anakutambulisha anakwambia huyu jamaa anaitwa MR WALTER WHITE anakwambia huyu jamaa ndo anatengeneza haya madawa yanayosifiwa mtaani yanaitwa blue METH

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bonge moja ya story umejaribu kutengeneza

Nimeangalia series nyingi nzuri! Ila hizi ni nzuri zaidi!
Dexter

Salio dead -hususan S1-S7

Mandalorian

Treadstone

Money heist

The 100

Blacklist

Into the badland

Dare devil

See

Hanna

Travelers

Manifest

Queen of the south

The son

West world

Nakuahidi ukiziangalia hizi hupotezi muda wako bure! Utafurahia!
Queen of the south natafuta season 4 sijui nitadownloadia wapi
Hii movie 🙌
 
Guys!!!
Hivi huwa mnatazamaje series!?
Mbona ukitazama kwa utulivu ni rahisi sana kujua kwanini jamaa hawakumtumia Gavana wa benki kujua ilipo Panic room.
Kama umetazama vizuri utaelewa kuwa Gavana ni mtu mwenye msimamo mkali, hayupo tayari kuwasaidia jamaa kukamilisha lengo lao (yaani yupo tayari hata kupoteza maisha), mara ya kwanza walijaribu kumuomba/kumlazimisha awasaidie kufungua "chemba" iliyokuwa na nyaraka za siri za Serikali lakini ilishindikana, tena ilibaki kidogo tu Gavana apoteze maisha.
Profesa alikuwa anajua kuwa Gavana hayuko tayari kuwapa ushirikiano, ndio maana aliamua kuumiza kichwa mwenyewe.

Kama series nyepesi kama hii inawashinda kuelewa, vipi mkitazama series ya Lost au series ya Westworld!?
Nadhani mtaishia njiani wazee!!!
Yaani kwa maelezo yako haya, inaonesha wazi hata wewe mwenyewe hujaiangalia kwa makini, kwahiyo nawe umeshindwa kuielewa "series nyepesi kama hii".

In short, Mwandishi kachemka!

Kama umefuatilia vizuri nadhani unakumbuka sehemu ambayo Profesa alikuwa anajadiliana na Berlin kabla hawajafanya tukio wakitaka kujua ni sehemu ipi inatumika wakati wa emmergency.

Ili kufahamu, wakakubaliana Berlin atatumia identity ya mtu mwingine ili akakutane na Gavana kisha wazushe balaa ili hatimae Berlin aone ni wapi Gavana ataenda kufichwa! Kama utakumbuka vizuri, inaanza kwa scene ambayo Berlin na Profesa wapo kwenye gari nje ya Benk ambako walimuona Security Chief, Gandia akiwa amekaa kikazi hasa!!!

Hapo hapo Berlin akatoa ushauri kwamba kabla hatujafanya tukio, huyu jamaa anatakiwa kuwa ameshakufa lakini Profesa akasema hapana, "we're not the killers"!

Lakini kama walivyokuwa wamepanga, hatimae Berlin alifanikiwa kwenda pale benki huku akijifanya ni Consultant kwenye issue za Risk Management. Na Berlin akatumia kikao hicho kumshauri Gavana waongeze Gold Reserve.

Wakiwa kwenye mazungumzo, ghafla kikatokea kitu kama explosion. Huku wakiwa wame-panic, ukatokea mngurumo mwingine na hapo hapo Gandia akamchukua Gavana na kum-escort Panic Room... na hicho ndicho kilimpeleka Berlin pale.

Hata huo mlipuko ulifanywa na Timu ya Profesa ili hatimae Berlin aweze kuona Gavana ataenda kufichwa wapi, na kweli akaona manake Berlin alibaki ametumbua macho akishangaa silaha mzito zilizokuwa mwanzoni tu unapoingia Panic Room!

Kwa maana nyingine, kabla ya tukio tayari Berlin alishafahamu ni wapi ilipo Panic Room, lakini cha ajabu wakati yule Afande aliyekuwa anavujisha habari kwa Profesa alipomwambia Prof kwamba Gandia yupo Panic Room, Profesa akahoji "where's a Panic Room"!
 
Kwahiyo hapo kitu gani sijaelewa Boss?
Sijaelewa kwamba mwandishi wa script amechemka kama unavyodai ama nini?
Pia zingatia niliyemjibu mimi alikuwa anahoji kwanini wasimuulize gavana wa benki kuhusu mahali ilipo "panic room".
 
Kwa kuzingatia jibu ulilotoa ndo maana nimesema "...inaonesha wazi hata wewe mwenyewe hujaiangalia kwa makini" kuonesha wote hamkuingalia vizuri!

Kwamba Mwandishi amechemka hilo lipo wazi kwa sababu alishatuonesha kupitia flashbacks jinsi Berlin alivyoweza kufanikiwa kuiona Panic Room; sasa inakuaje tena hata Profesa baadae anahoji "where's a panic room".

Lakini hata kama wasingekuwa wameifahamu in advance bado pia hawakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kutomlazimisha Gavana ataje ni wapi ilipo Panic Room!

It's TRUE, mwanzoni Gavana aligoma kufungua Secret Vault, na inaonesha alikuwa tayari kwa lolote lile! Hata hivyo, Secret Vault na Panic Room vina umuhimu tofauti... wakati Secret Vault inatunza siri za serikali, Panic Room hutumika in case of emergency.

Ni kutokana na unyeti wa Secret Vault ndio maana ni Gavana pekee ndie alikuwa na access nayo wakati Panic Room tumeona hata Gandia alikuwa na access nayo, na haikuwa ni sehemu nyeti ndo maana kulikuwa na silaha kibao, kuonesha in time of emmergency, askari wanaingia wanachukua silaha kisha wanaingia mzigoni!

So, sioni ni kwa vipi Gavana angekuwa tayari kufa ili kuilinda sehemu ambayo kimsingi, ni sehemu ya kiusalama tu na wala sio kwamba kuna vitu nyeti!!

Lakini hata kama Gavana angekuwa tayari kufa kuliko kutaja ni wapi ilipo Panic Room, je angekuwa tayari kuona mateka wengine wanaumizwa kama njia ya kumshinikiza ataje ilipo Panic Room?!

Au yeye mwenyewe angeweza kuvumilia torture endapo wangeamua kutumia option ya torture kama namna ya kumshinikiza ataje?!

REMEMBER, wakati Professor anamwambia Berlin kwamba Gavana hatafungua vault kwa sababu ni man of principles, Berlin akamhakikishia "atafungua tu" through tortures!

Kwa bahati mbaya, hatukushuhudia uwezo wa Gavana katika kuhimili mateso kwa sababu Denver alilikoroga mapema baada ya kumpiga kichwa, na kupoteza fahamu!!

So, nikichanganya yote hayo, bado naona hoja ya wanaohoji "how come" jamaa wanatumia muda wote ule kutafuta Panic Room!!
 
Nimekupata vyema Kiongozi.
 
Bado haijatoka hiyo, labda kuaanzia mwezi wa 8 mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Season 4 ipo mkuu ilitoka mwaka Jana August season 5 ndiyo imeahirishwa Hadi mwakani kwa sababu ya korona
Anayetafuta link hii hapa ya telegram
Queen Of The South Season 4
7.9 IMDb ratings
The whole full season of Queen of the South Season 4.
We also post trending Netflix films and series as we await Queen of the South Season 5 premiers
Queen Of The South Season 4

Ya torrent
Download Queen of the South Season 4. revittony Torrent | 1337x
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwa maelezo yako haya, inaonesha wazi hata wewe mwenyewe hujaiangalia kwa makini, kwahiyo nawe umeshindwa kuielewa "series nyepesi kama hii".

In short, Mwandishi kachemka!

Kama umefuatilia vizuri nadhani unakumbuka sehemu ambayo Profesa alikuwa anajadiliana na Berlin kabla hawajafanya tukio wakitaka kujua ni sehemu ipi inatumika wakati wa emmergency.

Ili kufahamu, wakakubaliana Berlin atatumia identity ya mtu mwingine ili akakutane na Gavana kisha wazushe balaa ili hatimae Berlin aone ni wapi Gavana ataenda kufichwa! Kama utakumbuka vizuri, inaanza kwa scene ambayo Berlin na Profesa wapo kwenye gari nje ya Benk ambako walimuona Security Chief, Gandia akiwa amekaa kikazi hasa!!!

Hapo hapo Berlin akatoa ushauri kwamba kabla hatujafanya tukio, huyu jamaa anatakiwa kuwa ameshakufa lakini Profesa akasema hapana, "we're not the killers"!

Lakini kama walivyokuwa wamepanga, hatimae Berlin alifanikiwa kwenda pale benki huku akijifanya ni Consultant kwenye issue za Risk Management. Na Berlin akatumia kikao hicho kumshauri Gavana waongeze Gold Reserve.

Wakiwa kwenye mazungumzo, ghafla kikatokea kitu kama explosion. Huku wakiwa wame-panic, ukatokea mngurumo mwingine na hapo hapo Gandia akamchukua Gavana na kum-escort Panic Room... na hicho ndicho kilimpeleka Berlin pale.

Hata huo mlipuko ulifanywa na Timu ya Profesa ili hatimae Berlin aweze kuona Gavana ataenda kufichwa wapi, na kweli akaona manake Berlin alibaki ametumbua macho akishangaa silaha mzito zilizokuwa mwanzoni tu unapoingia Panic Room!

Kwa maana nyingine, kabla ya tukio tayari Berlin alishafahamu ni wapi ilipo Panic Room, lakini cha ajabu wakati yule Afande aliyekuwa anavujisha habari kwa Profesa alipomwambia Prof kwamba Gandia yupo Panic Room, Profesa akahoji "where's a Panic Room"!
Panic room haiko pale kwenye mlango wa Governor kulikuwa na armory tu ya silaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu jaribuni kuchungulia na huku ... Tv show Ni crime drama series Ina story nzuri yenye muunganiko wa sehemu tofauti , director kaonesha utofauti muunganiko wa characters na sound zinazosikika zinakuchukua unakuwa part ya wahusika( kwa wanaofatilia Dark wanaelewa) , kwa wanaopenda hustling drama series hii ndo ya kuitazama Sasa ....kila scene inakuchukua kufikiria zaidi na kutamani kutazama ilipoishia .

Montenegro_20200424_073926.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom