Series (Special thread)

Series (Special thread)

Panic room haiko pale kwenye mlango wa Governor kulikuwa na armory tu ya silaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta episode ambayo Berlin alienda kukutana na Gavana as a Consultant kisha angalia hadi ile scene ya kutokea mlipuko na Gavana kukimbiziwa sehemu ya salama.

Ukifika hapo... angalia kwa umakini, kisha rudi kwenye scene ambayo baada ya Gandia kuwatoroka Professor's Gang, akaenda panic room halafu linganisha hayo mandhari, bila kusahau kuangalia kwa makini hiyo armory!

Na kuna scene nyingine Berlin alikuwa anamweleza Professor (kupitia flashbacks) mazingira ya Panic Room kwamba kuna silaha!

Na issue sio kuwa kwenye mlango wa Gavana bali kuwa jirani na ofisi ya Gavana, na ndio maana Berlin alijua wakisha-fake mlipuko kitakachotokea ni Gavana kupelekwa Panic Room!
 
Kwente list yako zote nimezicheki kasoro The handmaids tale, ozark, fago na The kilings.
Ongezea
Better call soul, ina actors wengi wa breaking bad, wametumia mjina na roles zilezile za kwenye breaking bad.

Picky blinders hii nimpya ila ishafika season 4 ukichek lazima uiweke kwenye top 3 zako


Sent using Jamii Forums mobile app
Peaky blinder hawez kuwa top 3 , ya kawaida sna na haieleweki haina msisimko


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom