Nimeicheck Homeland seasons zote kasoro inayoendelea maana mi nasubiri season nzima iishe ndo nishushe mzigo wote.
Kuna series ya The blacklist wew download season 1 episode 1 uone unyama wa Raymond Reddington kabla ya kushusha mizigo mingine.
FBI inamtafuta the most wanted Raymond Reddington sasa jamaa anaamua kujikamatisha hadi FBI wanashangaa inakuwaje uyu mtu kajileta mwenyewe sasa hapo jamaa anaingia nao deal kwamba atawatajia blacklisters wote wanaoisumbua USA ila anataka katika iyo team awepo mdada mmoja ambaye ni mwanae ila uyo sister hajui chochote ila cha kushangaza inakuja kugundulika huyu si Raymond Reddington je huyu mtu ni nani? Na huyo dada mama yake alikua jasusi wa urusi ambaye alikua mpenzi wa Raymond Reddington wakati alipotumiwa afanye mission USA inasemekana amekufa ila kumbe yupo hai na je yupo wapi? Na huyo dada ambaye ni mtoto wa Raymond Reddington ana mume wake ila uyo mumewe ni hitman na katumwa ili amchunguze uyo dada je, katumwa na nani? Kuna jasusi mwingine yupo Russia ambaye anabeef na Raymond nae anasema uyo dada si mtoto wa Raymond bali ni wake je uyo sister ni mtoto wa Raymond au jasusi la kirusi?
Raymond ni mtu mwenye connections zote ndani ya USA na nje so ana mtu wa kufuta ushahidi akifanya tukio, ana accountant, ana bodyguard huyo hacheck kutoka Africa anaitwa Dembe So ni bonge la series ilo man na humo kuna mabeef kati CIA na FBI humo ni kama yote.