Series (Special thread)

Series (Special thread)

Naombeni site ya ku download series wakuu

Nimejaribu kutumia Todaytvseries, niki click sehemu iliyoandikwa Download vinakuja vitu vingine (sijui ndio ads?)

Nipeni maujanja ya kudownload, hii Corona bila series maisha yatakuwa magumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa simu tumia toxicwap.com tumia opera mini kwa chrome itakupa shida kidogo
 
Wadau kun mwenye taarifa kuhusu Netflix waniachia lini Money Heist (La casa de papel)season 4
20191114_213927.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jack Rayan nimeiangalia last weekend. Siyo ya kitoto, ni mambo ya consiparacy, ujasusi, CIA thing hutojuta kuiona!
 
Habari za muda huu wadau
Kutokana na janga tulilonalo
Tumeanzisha business ya movie delivery
Tunasambaza movie za aina zote(kasoro za kibongo) maofisini na majumbani
But conditions for delivery ni kuanzia movie/series au episode tano
Bei zake ni as follows
Movie 1500
Series-2500
Episode-1500
What you do is texting your order details to our below numbers,
1st-jina la movies,
2nd-episode au series husika
3rd- muda wa delivery
4th delivery location
Contact:0763878685-Both whatsaap n calls
Instagram-movie_Tz

Tuunge mkono juhudi/tunahtaji support yako
Please Tell friend to tell friend!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Best TV Series of all time. Utakuja kunishukuru.

1. Breaking Bad
2. Homeland
3. The Wire
4. Game of Thrones
5. Sons of Anarchy
6. The Americans
7. 24
8. House of Cards
9. Sherlock
10. Ozark
11. The Killing
12. Fargo
13. Vikings
14. The Handmaid's Tale
15. The Walking Dead

I'm the number one fan of drama, crime and mystery series. You will never be disappointed with my list.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii list ipo vizuri kuna nyingi nazikubali hapo ongeza na hizi 1. Dexter 2. Mad men (hii ipo kiuhalisia sana kama the wire ) 3. STRANGER THINGS 4. Prison break 5. Narcos 6. Tyrant 7. Banshee 8.lost

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom