April Jr
JF-Expert Member
- Mar 27, 2019
- 244
- 1,233
Itafute Strike back hutojuta maishani mwako
Mkuu inafikia 24?Itafute Strike back hutojuta maishani mwako
Njia rahisi... Chukua hayo maneno ya conversation... Yaingize YouTube then search lazima upate jibu... Huwa naitumia hii njiaView attachment 1351158
Oy wadau hii ni muv au series gan
Hii nimeimaliza kitamboItafute Strike back hutojuta maishani mwako
Inaendelea season ya 8
Iyo inahusu mambo ya mapigano kwa sana kuliko 24 ambayo imekaa kiintelijisia kwa sana kuliko mapiganoMkuu inafikia 24?
Niliangaliaga mwisho season 3 nikaiacha, nimeona nianze na hii season8 episode1. Uzuri muda mwingine mission zake zinakua sio za kuendelea kwaio unaweza ukacheck tu nakuhisi hujapitwa kituMoja Utofauti kati ya 24 na Strike Back
ni kwamba
24 ya Jack na akina Tony wao ni ktk majiji ndani ya USA
California, New York nadhani na DC
nadhani hata bajeti yao huenda ilikuwa ni kidogo tu ukilinganisha na Strike Back
wahusika wamekula bata kutembea nchi nyingi mno
hadi hapo Kenya walifika!
Bajeti yao sio mchezo unaona wanavyouvaa uhusika
akina Scott na Mike akina John Potter, n.k
zote ndizo series PEKEE nazozitazama na nilizonazo
ila Strike Back ina kitu cha utofauti kulinganisha na 24 Hrs
Sent from my iPhone using JamiiForums
Seal Team wanaendelea tarehe 26 mwezi huuWale wazee wenzangu wa seal team, ndio wamequit on us nini? Nijipange tu kurudia 24 for the 5th time?
Sent using Jamii Forums mobile app
24 kwakweli nimeshairudia kama mara 3!Wale wazee wenzangu wa seal team, ndio wamequit on us nini? Nijipange tu kurudia 24 for the 5th time?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh,inamaana strike back kila episode na mission mpya?Sio muendelezo kama 24?Mimi huwa napenda muendelezo,series ambayo kila episode inajitegemea inaboa,unakuwa unaanza kisa upya kama movie vile!Niliangaliaga mwisho season 3 nikaiacha, nimeona nianze na hii season8 episode1. Uzuri muda mwingine mission zake zinakua sio za kuendelea kwaio unaweza ukacheck tu nakuhisi hujapitwa kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo strike back ni muendelezo au kila episode ina mission yake?Mimi napenda series ya muendelezo!
Sio kweli ina muendelezo man na pia hakuna series ambayo matukio yake yote yanaendelea kila episodes Kuna zingine zinaisha na kubaki zile zinazobeba title ya series yenyewe. Uzuri wa iyo series haichoshi so wewe shusha hata season 1 yote au Anza na episodes zako 5 alafu la hutojuta muda wa kupotezea mda wakoHiyo strike back ni muendelezo au kila episode ina mission yake?Mimi napenda series ya muendelezo!