Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna hii peaky fooking blinders...watu wanaisifia snaa lakini mim nilichek episode 4 tu za season 1 nkaichoka yan sikuipenda plot
 
Breaking bad ni moto mwingine.. Mkuu ebu nishawishi niangalie hiyo Game of thrones, niliangalia episodes 2 za mwanzo nikachemka..
Sasa unaposema kwenye ranking inaizidi Breaking Bad nabaki nashangaa..
Umeandika pumba man hivi ni mimi ndo ninayerank izo series man? Na viewers youtube nan kakwambia viewers wanapatikana youtube? Unazani izo ni kama nyimbo zenu za kibongo kwamba ubora unapatikana youtube? Alafu eti uuzwaji si sababu nani kakwambia watu wananunua vitu vibovu? Na kama ya series ya zamani huwezi fananisha ya sasa mbona breaking bad ni ya pili baada ya game of thrones?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Best TV Series of all time. Utakuja kunishukuru.

1. Breaking Bad
2. Homeland
3. The Wire
4. Game of Thrones
5. Sons of Anarchy
6. The Americans
7. 24
8. House of Cards
9. Sherlock
10. Ozark
11. The Killing
12. Fargo
13. Vikings
14. The Handmaid's Tale
15. The Walking Dead

I'm the number one fan of drama, crime and mystery series. You will never be disappointed with my list.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo kabisa niliangalia season 1 GOT ikanishinda niaacha.. nikahamia kwenye empire na Lost. Nakatafuta season 2 ya GOT nikajikaza kuitazama hadi s3.. Wee huko mambo yakanoga.
Hii series ni nzuri sana sana akili kubwa imetumika..ukitaka uipende vumilia kuangalia s1 na S2 ikifika s3 mambo yananoga. Inagalie iwe haijatafsiriwa tena iwe na subtittles ndipo utakapoipenda.
Katika top 5 ya series bomba nilizowqhi tazama basi hizi ndio tano bora
  1. Game Of Thrones
  2. Prison Break
  3. 24 Hours
  4. Spartacus
  5. Jumong
  6. 3 Days
  7. kingdom of wind (Jumong 2)
Yaani sijui hata nikwambieje ila there is no way naweza angalia tena GOT.
 
Anaejua series kali yenye story nzuri kama Vampire diaries au originals anisaidie please..nipo saivi dukani

note: GOT,24,strike back,money heist, prison break,breaking bad...nishaziona
Icheki Legacies mkuu, ni muendelezo fulani wa The Vampire Diaries na The Originals
 
Breaking bad ni moto mwingine.. Mkuu ebu nishawishi niangalie hiyo Game of thrones, niliangalia episodes 2 za mwanzo nikachemka..
Sasa unaposema kwenye ranking inaizidi Breaking Bad nabaki nashangaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kukushawishi kuangalia GOT coz wewe na mimi tupo tofauti sana maana kila mtu anapenda vitu fulani anapoangalia series viwepo.
Kuhusu kwenye rank sio mimi ninayepanga man bali sites kubwa ambazo zimefanya research, tuzo zilizochukua izo mbili, mauzo na viewers.
Kukusaidia hata hapo kwenye browser we google the best action and thriller tv shows of all the time alafu nipe majibu utagundua kuna utofauti mkubwa wa sisi na wenzetu kwenye kuizungumzia series
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom