Series (Special thread)

Series (Special thread)

Jamaa atapitwa asipoiona Homeland,, sema Breaking bad ilinitia uvivu mwanzo nikaona kama siielewi elewi ngoja nitajitahidi niione.. The wire vp mkuu ni kali? Niliona trailer yake you tube, naomba nijuze kama ni kali na ina season ngapi?
Ogopa matapeli wanao kudanganya kwamba Homeland ni series mbovu. Kwangu mimi homeland ni series bora baada ya Breaking Bad, Game of Thrones na The Wire.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada kwa mwenye link ya series ya Traveller 2008,,,ile ya zaman ya wale madogo waliohisiwa kuwa walilipua bomu kwenye jumba la makumbusho
 
Msaada kwa mwenye link ya series ya Traveller 2008,,,ile ya zaman ya wale madogo waliohisiwa kuwa walilipua bomu kwenye jumba la makumbusho
Mkuu jaribu kuitafuta www.O2tvseries.com

Au njia ya pili nenda google andika " download Traveller season 1 index " kama ipo itakuletea link mbali mbali anza kufungua moja moja utaipata, kukitaka season two hapo kwenye season 1 unaweka season 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu, homeland ni mbovu kuanzia season 1-3. Ila baada Sergeant Brody kufa ndo series ikanoga. Ukiangalia season 4-7 utaona utofauti mkubwa sana. Ni the best show kwenye hizo seasons. Hatari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa matapeli wanao kudanganya kwamba Homeland ni series mbovu. Kwangu mimi homeland ni series bora baada ya Breaking Bad, Game of Thrones na The Wire.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kweli watu tunatofautiana sana kwangu mimi ni one of the best series.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sahihi Mkuu kusema mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki nikichekesho yaani Hanna Ni Nzuri kuliko Homeland!? I see!

Sent using Jamii Forums mobile app
niliangalia season 1 complete ila ilinishinda kuangalia the next season

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
13 reasons why ipoje wakuu
nimeangalia epsode 2 naona kama story haieleweki
 
Kwa mtu ambaye anafutatilia intelligence series hakuna kama 24 for sure hakuna ,namna matukio Yalu to pangolins ukianza huachi mzee mpaka umalize.nakumbuka nilishawahi kukaa 24 hrs naangalia hii series maana kila episode uilikuwa na one hr.na season moja ilikuwa na episode 24

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ambao hajaiona NARCOS MEXICO.. HII NA ILE YA NARCOS YA PABLO NI MBILI TOFAUTI..

Link ya ku download

https://medeberiyaa.com/index.php/n...W7P09G86IDuRL-3dMtGcZXbeWm5hBQ2s4pQp0CUf1w1jw

Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo Narcos Mexico inahusu jinsi gani madawa ya kulevya yalivyokuja kuiteka soko la bangi na kuanza magenge ya madawa ya kulevya nchini Mexico. Mi nilishaiangalia season 1 na season 2 imeshatoka tayari.
Kiukweli series ya breaking bad ndo imenifanya nipende series za madawa ya kulevya kama:
1. Snowfall
2. El chapo
3. Queen of south
4. Narcos Mexico
5. Ozark
6.Gomorrah na nyingine kibao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom