Tupo mkuu..Ina maana wenzangu wa Soap opera na drama za marekani hakunazangu
SINGLE LADIES
THE HAVES AND THE HAVE NOT
IF LOVINGBYOU WAS WRONG
SISTAS
SCANDAL
STRIKE BACK
THE WOMAN OF THE SOUTH(ya kimexico ndo tamu)
POWER
kwa simu tumia toxicwap.com tumia opera mini kwa chrome itakupa shida kidogo
Tumia EZtv torrent haina usumbufu, quality nzuri unachagua ukubwa unaoutaka kulingana na urefu wa kamba yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo mkuu..
Ongeza na hizi
Ambitions
Why women kill
Cherish the day
Insecure
Green leaf
Saint and Sinner
The Oval
Enjoy mkuuDah!asante sana umeniongezea material nizishushe leoleo![]()
Sijui kwanini series za kikorea naona shida kuzifatiliaSix flying dragon aise hiii kitu ni moto!!tena inafa kweli kwa nyakati hizi za siasa za nchi yetu na corona pia full package,utamu hadi kisogoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo The wire mbona sjaskia ikitrend sana huku... au ni mpya?My Best TV Series of all time. Utakuja kunishukuru.
1. Breaking Bad
2. Homeland
3. The Wire
4. Game of Thrones
5. Sons of Anarchy
6. The Americans
7. 24
8. House of Cards
9. Sherlock
10. Ozark
11. The Killing
12. Fargo
13. Vikings
14. The Handmaid's Tale
15. The Walking Dead
I'm the number one fan of drama, crime and mystery series. You will never be disappointed with my list.
Sent using Jamii Forums mobile app
hizi series za kikorea mna download kwa kutumia sites zipi?Six flying dragon aise hiii kitu ni moto!!tena inafa kweli kwa nyakati hizi za siasa za nchi yetu na corona pia full package,utamu hadi kisogoni
Sent using Jamii Forums mobile app

iko kawaida sana




sure
Mimi nimeacha kuangalia miaka 7 iliyopita baada ya kuona story ni zilezile tu
Si mchezo iyo kitu weka mbali na watoto yaani uyo Raymond hajulikani kama yeye staring au aduiHii series nimeona ikiwa inapewa sifa mara kwa mara humu jukwaani.
Sijaangalia series siku nyingi sana, wiki hii nimejikuta napata appetite ya kuangalia "intelligence/crime" series, nikajisemea moyoni ngoja nijaribu hii kitu.
Mwisho wa siku nimejikuta imeniteka vibaya sana.
Hii kitu ya kuitwa "The Blacklist" ni maana halisi ya neno "noma".
Raymond Reddington ametisha sana katika hii kazi.
Reddington haeleweki kabisa aisee.Si mchezo iyo kitu weka mbali na watoto yaani uyo Raymond hajulikani kama yeye staring au adui