Series (Special thread)

Series (Special thread)

Reddinton ananifurahisha sana...ukimpa nafac ya kuongea umeisha
 
Yes, nimechoipendea ina uhalisia wa maisha tena ya kawaida kabisa, uongo ni kiasi kidogo sana. Kwanza Walter White na Skyler ni familia moja ambayo inaonesha uhalisia haswaa! Breaking Bad is real nyc!
Hiv breaking bad inaendelea s 6..
Cz ilipoishia siku elewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom