Series (Special thread)

Series (Special thread)

Seal Team season 2 imeishia December hii, kesho naishusha nzima nzima (internet ya ofisi)

Leo nakomaa nimalize Titans S1 , kesho jioni nianze hii Breaking Bad,

Nasikia Ozark pia ni kali
Ozark sijaiona mkuu..

Mimi mwenyewe navizia net ya ijumaa ya ofisini niimalize seal team s2...
Nichukue na series mpya ya kutumia weekend na mwaka mpya
 
Mr Walt...!!
Baada ya kuona sifa na review nzuri za BREAKING BAD sasa nipo naishusha nzima nzima.

Kwengineko nimemaliza BRAVE, now napiga TITANS ya DC , kesho naanza najitulizia na SEAL TEAM SEASON 2.

Huku FANTASTIC BEASTS -2, ROBIN HOOD nazo zinanisubir
Come wipe down here....
 
Robin Hood tayali imekuwa HD??maana naona bado ni CAM pamoja na Creed ||
 
Mkuu kwa GOT ,the 100 itasubiri miaka buku..
Yaani hata wangesema tuchange hata buku 20 ili GOT itoke 2018 mimi ningetoa hio pesa aiseeh..

Yaani the 100 ziwe buku ndo utapata utamu wa GOT 1
Ha ha ha ha ha, Mkuu nimecheka kinoma ha ha ha
 
Mkuu kwa GOT ,the 100 itasubiri miaka buku..
Yaani hata wangesema tuchange hata buku 20 ili GOT itoke 2018 mimi ningetoa hio pesa aiseeh..

Yaani the 100 ziwe buku ndo utapata utamu wa GOT 1
Umeongea ujinga mzeee... The 100 achana nayo kabisaaa...!! Hiyo GOT hakuna kitu paleeee... labda kama mtu alikuadithia kwanza ndo ukaenda kuiangaliaa... Ujingaa tu ulee na kale kajamaa kafupi series inaenda enda tuu...
 
Baada ya kuona sifa na review nzuri za BREAKING BAD sasa nipo naishusha nzima nzima.

Kwengineko nimemaliza BRAVE, now napiga TITANS ya DC , kesho naanza najitulizia na SEAL TEAM SEASON 2.

Huku FANTASTIC BEASTS -2, ROBIN HOOD nazo zinanisubir
breaking bad & titans ziko poa sana..
fantastic beasts 2 mambo yote...
ila robinhood maboko!
 
Umeongea ujinga mzeee... The 100 achana nayo kabisaaa...!! Hiyo GOT hakuna kitu paleeee... labda kama mtu alikuadithia kwanza ndo ukaenda kuiangaliaa... Ujingaa tu ulee na kale kajamaa kafupi series inaenda enda tuu...
Zote nimeangalia hii The 100 ilikua nzuri season ya mwanzo tu uko mbeleni umepoteza utamu mazima.

GOT mwanzo unaweza usielewe ila ukitulia hakika hutajuta kupoteza mda wako.Na nakushauri angalia zaidi ya mara moja mana kama ni kichwa panzi uwezi elewa

GOT ni habari ingine kabisa
 
Siwezi kukaa naangalia series Episode moja mara mbili kisa tu niilewe... Huo muda sinaaa...!!

The 100 now hata me nimeipotezea naona imeanza machenga chenga mkuu kiukweli... Ila zile season za mwanzo aisee acha kabisa... Kina Octavia kule porinii ule mziki mwingne...
 
hiyo the 100 season mpya nadhani watarudi kama mwanzo maana season ya mwisho walianza kujirekebisha
 
Siwezi kukaa naangalia series Episode moja mara mbili kisa tu niilewe... Huo muda sinaaa...!!

The 100 now hata me nimeipotezea naona imeanza machenga chenga mkuu kiukweli... Ila zile season za mwanzo aisee acha kabisa... Kina Octavia kule porinii ule mziki mwingne...
GOT inatakawa watu wenye akili kubwa kuchanganua mambo mzee ile sio "Jumba la dhahabu" ama merlin..ukizoea series rahisi rahisi ambazo unaweza bashiri jambo litakalofata.Bhasi hutaiweza.Hii mambo inawenyewe na wenyewe ndio sisi

Pia kuna series zingine mwanzo zinaboa,hazieleweki,zimepoa sana ila mbeleni ni moto wa kuotea mbali mfano BREAKING BAD na 24
 
Breaking bad iko level za prison break mkuu..
Yaani ni bonge la kitu..
Ukimaliza season ya 1 ukaona mchezo unavyoenda utamkubali walter white..

Maana jamaa ni akili nyingi halafu kitu kina kama kaukweli flani tofauti na series kama la casa de papel ambazo utaona uongo ni mwingi
Yes, nimechoipendea ina uhalisia wa maisha tena ya kawaida kabisa, uongo ni kiasi kidogo sana. Kwanza Walter White na Skyler ni familia moja ambayo inaonesha uhalisia haswaa! Breaking Bad is real nyc!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom