Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwamba ile No Easy Days ina episode nane tu au naona maruwe ruwe mi mwenyewe au wameisitisha maana ilishaanza kunoga sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeangalia episode moja tu ikani bore nilipo ona rais anaachia madaraka kizembe zembe,nikajua ni kimeo.

Sasa unaposema imenoga huko mbele natamani nizicheki episode zingine.
 
Nimeangalia episode moja tu ikani bore nilipo ona rais anaachia madaraka kizembe zembe,nikajua ni kimeo.

Sasa unaposema imenoga huko mbele natamani nizicheki episode zingine.
Kumbe tuko wote! Plots zake zinaisha fasta fasta na easy to predict what is next!

Wakajifunze kwenye my best Season 24 hours ya Jack Bauer!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu naona movie na series addict ni wachache sana imagine mtu mpaka mwisho wa 2018 hajaiona Banshee au GOT aiseee
Series ipi nyingine ambayo ipo na maudhui kama ya Banshee,,,na yale mambo ya 18+ kwa sana,,tofauti na Power
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom