Series (Special thread)

Nahitaji soft copy ya series na movies kali za kikorea n.k zaidi ya 100 (ziwe zimetafsiriwa kiswahili)
Kwa makubaliano ya kibiashara njoo PM tufanye biashara.
Nipo Dar


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani niko nahangaika kuitafuta muvi moja ya war veteran inaitwa Kriger ni ya kiDanish aka Warrior.....link please
 
Habari wakuu
Kuna mzigo unaitwa LAST RESORT, Ni ya siku nyingi kidogo ila kwa jinsi nilivoona trailer naona Kama inanivutia kwasbb napenda issue Kama hizo.. Millitary, Navy
Sasa nauliza Kuna mwamba yoyote ashaiona hio?
Ikiwezekana nisaidiwe kabisa na link zile za index of...

Sent using Jamii Forums mobile app
Zuia iyo mkuu bonge ya series.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa ni mpango na sio bahati mbaya
Hiyo uliyoangalia wewe ni GOAT,ila GOT ina ushoga...
Kuna mfalme ni mchele kibua kwenye GOT,itafute GOT uitazame utajionea..!
Ila ni jambo la kawaida sana series za siku hizi kuwa na mambo ya mapenzi ya jinsia moja,na sio bahati mbaya ni mpango wa kufanya mapenzi ya jinsia moja lionekane ni jambo la kawaida kwa watazamaji..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom