Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,050
- 4,602
Kwa mtazamo wangu Mimi naona inaizidi.
Ngoja niitafute..Kwa mtazamo wangu Mimi naona inaizidi.
Imejaa ngono tuu mpaka Ushogaa..!! nkaona ya kipuuzi tuu...GOT moja ya series bora kabisa kuwahi kutokea katika uso wa dunia hii.
Vingine achana navyo ila got ni habari nyingineImejaa ngono tuu mpaka Ushogaa..!! nkaona ya kipuuzi tuu...
Hayo mambo yapo tu, ila jinsi series ilivo, matukio yalivopangiliwa, characters wanavyotengenezwa from scratch, bado sijaona mpaka sasa series ya jinsi hiyo.Imejaa ngono tuu mpaka Ushogaa..!! nkaona ya kipuuzi tuu...
Hayo mambo yapo tu, ila jinsi series ilivo, matukio yalivopangiliwa, characters wanavyotengenezwa from scratch, bado sijaona mpaka sasa series ya jinsi hiyo.
Japo jinsi inavosogea yanapungua.Duuh me nilishindwa kuielewa kabisaa toka mwanzo



Ambao hatujawahi elewa GOT ina uzuri gani tunaComment wapi?![]()
Hiyo habari ya ushoga ilinifanya niache kuangalia Empire...Imejaa ngono tuu mpaka Ushogaa..!! nkaona ya kipuuzi tuu...
Hiyo habari ya ushoga ilinifanya niache kuangalia Empire...
The 100 nayo wanahamasisha usagaji tu mle... sijui wanawazaga nini hawa jamaa!!



Octavia...!! Yani balaaHa ha haAmbao hatujawahi elewa GOT ina uzuri gani tunaComment wapi?![]()
mkuu nilikuwa mmoja kati ya wasioielewa GOT, Ila baada ya kuiangalia aisee sitamani kuachaAmbao hatujawahi elewa GOT ina uzuri gani tunaComment wapi?![]()
Ingia hapa La casa de papel Season 1-2 Download Full 480p 720p [Dual Eng-Spa]Wadau naombeni msaada wa kudownload series ya Money heist nipate kwa lugha ya kiengereza badala ya Mexican
GOT inaanza kuwa nzuri season or episode ipi? NB:sijaianzaga kamwe!mkuu nilikuwa mmoja kati ya wasioielewa GOT, Ila baada ya kuiangalia aisee sitamani kuacha
Season ya tatuGOT inaanza kuwa nzuri season or episode ipi? NB:sijaianzaga kamwe!
Gerald buttler aka Mike BenNi muvie ya kimarekan,star yule jamaa aliye act London has fallen
Ha ha ha ha haAmbao hatujawahi elewa GOT ina uzuri gani tunaComment wapi?![]()