thanos
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,118
- 1,179
Mkuu last ship ina husu nnLast ship![]()
Mkuu last ship ina husu nnLast ship![]()
Wakuu hivi hakuna series mpya kaliMkuu last ship ina husu nn
Mpya ni narcos mexicoWakuu hivi hakuna series mpya kali
Hiyo kwangu hapana hakuna tofauti na hiyoMpya ni narcos mexico
LegaciesHiyo kwangu hapana hakuna tofauti na hiyo
Imeishia season ngap?Serikali ya Marekani imesitisha mwendelezo wa series ya the Shooter kwa sababu za ki usalama
Ina maudhui gani?Peaky blinders ni shiiiida huwezijutia hii....sijui nilikuwa wapi siku zote
Breaking bad komaa nayo umalize season 1 hivyo hivyo kibishi.. Ili uelewe utengenezaji ulianzaje.. Baada ya hapo utanyoosha mikono juu nakumkubali mzee baba Walter whiteHivi breaking bad nzuri.. niliangalia mpaka episode ya 4 nikaona inanichosha tu...
Na The Wire vip nayo.. naona inaelekea kunishinda maana hamna hamsha hamsha kabisa
Hahahaha eti ya kipori pori.Natafuta Series ya Kipori pori kama The 100 jamani niangalie series gani????? Ambayo imeshootiwa porini porini tu alafu ina actions...
Wakuu hivi hakuna series mpya kali
The walking deadNatafuta Series ya Kipori pori kama The 100 jamani niangalie series gani????? Ambayo imeshootiwa porini porini tu alafu ina actions...
Hayoo mazombie....!!The walking dead
Yaah ndo nzuri mzee...!! Za mjini mjini zinanichoshaa..The 100..Vikings...Hizo ndo series aisee....Hahahaha eti ya kipori pori.