demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,288
Hivi breaking bad nzuri.. niliangalia mpaka episode ya 4 nikaona inanichosha tu...
Na The Wire vip nayo.. naona inaelekea kunishinda maana hamna hamsha hamsha kabisa
Hata mm nilikuwa nayo nikaicheki nkaona niko bored sana.
Mimi napenda movie za kupelekana mpela mpela tangu episode ya kwanza.
