VikingsNipeni list apa nimeweka bundle nataka shusha mzigo
The game is overLast ship![]()
Yeah imeisha ila kama mwisho haujawa mzuri kwa mtazamo wanguThe game is over
Imeishia vibaya aisee hata hawajaonesha walivyorudi home daaahLast ship![]()
Ameitendea haki,ni miongoni mwa series bora kabisaImeishia vibaya aisee hata hawajaonesha walivyorudi home daaah View attachment 932878
Kiukweli wamechezea sana vitasaNathan James katika hii season 5 ya the last ship wamekula sana kipigo na ndo battle ngumu kwao kuliko season yoyote hili ni kwa upande wangu sijui nyie mnalionaje
Nathan James katika hii season 5 ya the last ship wamekula sana kipigo na ndo battle ngumu kwao kuliko season yoyote hili ni kwa upande wangu sijui nyie mnalionaje
Sikuamini kama Bulk alikufa na nina wasiwasi hata Wolf nae alikufa daahUtamu utapungua sn ikiendelea maana watu wengi muhimu wameisha kwny season hii
Sikuamini kama Bulk alikufa na nina wasiwasi hata Wolf nae alikufa daah
Hii series siichoki. Ninayo yote kwenye PC yangu ikiwa na English subtitles. Ila sijui nikusaidieje uipateWadau naomba mnisaidie jinsi ya kudownload au kupata series ya Jumong yenye English subtitles
Ata yule Alicia Granderson( black beauty) nae ali die kizembe sanaBurk kafa kiboya sn...wolf sidhani kama kafa
Kweli yani ila hii season Chandler kapata cha mtema kuniAta yule Alicia Granderson( black beauty) nae ali die kizembe sana
Pia kuna yule Mrussia Ruskov alikuwa na Sub marine ivii aliitikisa Nathan James kwa kiasi fulani. But all in all Viva Tavo..Kweli yani ila hii season Chandler kapata cha mtema kuni
Yeah japo hii mi naona wametaabikaPia kuna yule Mrussia Ruskov alikuwa na Sub marine ivii aliitikisa Nathan James kwa kiasi fulani
Haiendelei. Na wamenikera wa kuwatenda vibaya actors kama miller,Burk, wolf. Sijapenda yaani...imeisha kiboya flan hivi yaani..Utamu utapungua sn ikiendelea maana watu wengi muhimu wameisha kwny season hii