roservelt
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,418
- 1,520
Mkuu angalia kwenye downloadsKwang namepakua ep moja lakin nikiiangaia ktk video zng siipate hywa znajihifadh wap? Ila kiukwel nitaimiss sana terrerium tv kwa kweli
Mkuu angalia kwenye downloadsKwang namepakua ep moja lakin nikiiangaia ktk video zng siipate hywa znajihifadh wap? Ila kiukwel nitaimiss sana terrerium tv kwa kweli
Mie ndie CO pembeni ya ChandlerTeh teh teh, kumbe tupo boat moja kuifuatilia eeh!
Mie roho imeniuma sana tu yaaniAisee nimeisoma mpk nimeumia. Please mwenye app nzuri atleast inayoendana na Terrarium anisaidie. Please, please. Naomba iwe na Mb kidogo ili niendelee kuwa in TV shows.
Yes,yaani after kisolve tatizo la njaa na kuzipata zile seed,it's like 3 years imepita na wakapata utulivu wa kila mtu kuamua afanye nini,naona yeye akataka awe chuo cha marine-NavyMbona kma chandler kawa lecturer? Ndio nimeanza
Nishaitumia inanikwaza tu sasa hiviJaribu showbox
Nimewawekea hii naona hakuna hata aliyeifata....Jaman fateni hatua hizi hapa terrarium TV bado ipo...
Fata link hapo chini then thanks me later
Kwasisi wenye vichwa vizito, hii ina mzunguko mrefu sana.Nimewawekea hii naona hakuna hata aliyeifata....

Haipo alooMkuu angalia kwenye downloads
Kiukwel kwa hili napinga,kuna shows za kumwaga zote ila hii ambayo hawaitengenz netflix hapana,na ingekua yte bas kila app ungeweza kuipata yte hapa nmejarib ep 2 na imegomaWaliweka yote asee, just like Netflix.
Alitengeneza mkwanj mwingi so walimpa heshima yake japo kalikataa kakasema n mchango wa workers wengine pia... Berlin Ndo Namkubali.Hahahaha....daaaah..kama mm mzeeee....namulewa sanaaaa....kuna sehemu alimpa heshima mr torres kama mtekwaji bora
Ok, badi mie niliangalia yote na ckupata shida kuipakuaKiukwel kwa hili napinga,kuna shows za kumwaga zote ila hii ambayo hawaitengenz netflix hapana,na ingekua yte bas kila app ungeweza kuipata yte hapa nmejarib ep 2 na imegoma
@Hans Pol, mwanzoni ilipiga mzigo ila now imenizingua. Inaload tu, bila kushusha mzigo.Kwasisi wenye vichwa vizito, hii ina mzunguko mrefu sana.
Weka TeaTv mwendo mdundo huyo mtoa maelekezo mwenyewe TeaTv anayo kama backup in case anything goes wrong![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ohooooooo mjangaaa...@Hans Pol, mwanzoni ilipiga mzigo ila now imenizingua. Inaload tu, bila kushusha mzigo.

Mie ilikubali mwanzo, but ikazingua njiani. Ilikuwa na mpangilio mzuri.Teatv kwangu inagoma ku instal.... Nakosea wapi..??
OhooooooSerikali ya Marekani imesitisha mwendelezo wa series ya the Shooter kwa sababu za ki usalama
Kwangu imegoma pia jamani msaada wa appTeatv kwangu inagoma ku instal.... Nakosea wapi..??
Tupe link basi. Naona tea tv haina iyo seriesNi bonge moja la series its so real & touching