Series (Special thread)

Breaking bad nilikuwa nayo nikaicheki mpaka episode 5 nikaona inanipa usingizi nikaiacha..

Baadae nikaona watu wanaisifia sana....nikawa nawashangaa sana.

Kupitia pitia humu napo nikaona mnaisifia sana.

Ngoja nikaipakue tena upya niicheki maana nilikuwa na mzigo wote nika-delete.
Yani we mkuu kama mimi itabidi niendelee maana niliishia ya 6
 
BLACK MIRROR. (Season 1 to 4)

Hii series inaonesha dark side of technology, kila episode inajitegemea kabisa. Ila daah kuna mambo humu kuhusu technology ni noma, unaweza ogopa hata kutumia PC yako.
 
Breaking bad nilikuwa nayo nikaicheki mpaka episode 5 nikaona inanipa usingizi nikaiacha..

Baadae nikaona watu wanaisifia sana....nikawa nawashangaa sana.

Kupitia pitia humu napo nikaona mnaisifia sana.

Ngoja nikaipakue tena upya niicheki maana nilikuwa na mzigo wote nika-delete.
Komaa nayo, Season 1 episode za awali zinaboa, ila Season 2 na kuendelea ni nzuri, utakuja kusimulia hapa.
 
Komaa nayo, Season 1 episode za awali zinaboa, ila Season 2 na kuendelea ni nzuri, utakuja kusimulia hapa.
Na mimi niliiweka pending mara kadhaa ila baada ya masimulizi kuwa mengi nikakomaa nayo ilipofika season 2 baada ya Tuco kufa dah ilikuwa hatari nikapata maana ni kwa nini ina rates kubwa sana
 
Napenda series Kama izi

Banshee
Strick back
The punisher
Lost
Power
Into the Badlands
The walking dead
Prison break

Kama Kuna nyingine ambayo ndani yake Kuna mi action ya kutosha plz nipe jina lake niishe leo

Note, zifuatazo tayar Nisha ziangalia lakin kwangu ni za kawaida

The last ship
GOT
Breaking bad/ money heist
FBI
Manifest
Dare devil
Marvel agent of shield
.
.
.
.
.
.
.
............
 
BLACK MIRROR. (Season 1 to 4)

Hii series inaonesha dark side of technology, kila episode inajitegemea kabisa. Ila daah kuna mambo humu kuhusu technology ni noma, unaweza ogopa hata kutumia PC yako.
Ni nzurii sana???? Au ndo kutumia PC tu ila hakuna mkonoo...
 
  • Thanks
Reactions: dtj
48356413_263178544378890_2010564471470161920_n.jpg
 
Napenda series Kama izi

Banshee
Strick back
The punisher
Lost
Power
Into the Badlands
The walking dead
Prison break

Kama Kuna nyingine ambayo ndani yake Kuna mi action ya kutosha plz nipe jina lake niishe leo

Note, zifuatazo tayar Nisha ziangalia lakin kwangu ni za kawaida

The last ship
GOT
Breaking bad/ money heist
FBI
Manifest
Dare devil
Marvel agent of shield
.
.
.
.
.
.
.
............
Angalia

1. The Americans

2. Homeland

3. NIKITA

4. Blindspot

5. Covert Affairs

6. Designated Survival
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom