Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,397
- 19,323
Labda hiyo Designated Survivor waifanyie review fasta sana maana ilivyokuwa inaenda inaenda kama House of Cards AMBAYO NI POLITICAL.... Kwa ilivyoanza wengi waliitajia iwe action,spy,terror thing ...rather imekuja kuwa laiiiiniiiiReally??? Yeeeeewes Let's waitt
Daaah mdauuuu.... Bonge la series la kihunihuni madawa ya kulevya , magang na wanasiasa na vatican wanavyopambana kuicontrol pwani . Nimependa ushirikianao wa wale machalii wa tatu, mtoto wa mpelelezi na watoto wawili wa makundi hasimu lakini wao wakaja kuwa marafiki wakafanya kakundi chao cha mtu tatu mmoja akili nyingi (mtoto wa polisi ) , mmoja mtata kuua nje nje (familia ya Gippsy) na kajamaa kapole (familia ya Aureliano) na jangili baba kubwa Samurai.... dadadeki ni siku nyingi tangu 2016... ila imepata order ya Season two mwaka huu...
Valor nimeitizama... Nasubiri season two nione mission zao Nora Madani na Captain wake baada ya kujiunga na CIA ZITAKUWAJE...Kuna mtu ameitizama VALOR, The LOOMING TOWER?
Imepewa order ya Season 2 mkuu?Valor nimeitizama... Nasubiri season two nione mission zao Nora Madani na Captain wake baada ya kujiunga na CIA ZITAKUWAJE...
angalia home aloneSijui nicheck nini usiku wa leoView attachment 783857
CW walisema naicancell eti ina ratings ndogo lakini wamerenew series nyingi kama 11 zenye ratings ndogo kuliko Valor. Hoppefull wataiorderImepewa order ya Season 2 mkuu?
Waisrael na ndugu zao wapalestina mara fatah mara hammas ni shida sana ...Hebu nielekeze terrerium una download vip?? View attachment 795111
Luke cage vipi inatazamika?Waisrael na ndugu zao wapalestina mara fatah mara hammas ni shida sana ...
Mkuu hii movie money heist, nifanye vipi ili niweze kuidownload torrent
the brave inahusu nini drama au actionThe Brave inanibamba sana
Hyo ni actionthe brave inahusu nini drama au action
Hivi mkuu hii BB ina uzuri gani hasa? Story yake ikoje yani? Naomba kujua. Kozi nilikua nayo kompliti sizon one - five lakini nilifuta. Em nambie nifanye namna niisake tena.
Hii breaking bad ndo ile ya yule lecture mkemia
asante mkuu ndaichekiHyo ni action
Umo Umo kwenye hiyo link inakuja Kama na kavideo flan kana alama ya kuplay.. kaclick kataonyesha chini previous, next na mengine mengine scroll chini Kuna options mbili za kuvuta kupitia magnetic au torrent... Click unayopenda mzigo huoMkuu hii movie money heist, nifanye vipi ili niweze kuidownload torrent
Daah.. Kaka mkubwa series za Marvel bwana zinanichoshaga wanawapa characters wao nguvu kubwa sana kiasi kwamba unajua tu Hakuna atakacho feli niliangalia mbili tatu kwa kweli ni nzuri zina action Kama hii Lakini hazinivutii kivile.. Napenda zile hata star wa series anakula kichapo anajipanga Kama ilivyokuwa kwa Daredevil na Agent Carter lakini hizi zilizofuata ni Kama superpower flani ambazo sio genre nayoifurahiaLuke cage vipi inatazamika?
Huna haja ya kutumia sijui matorrent ingia hapoMkuu hii movie money heist, nifanye vipi ili niweze kuidownload torrent