Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,354
Mkuu ina husu Nini hii?Nimeuona mzigo mpyaaaaa. Hatari
Mkuu ina husu Nini hii?Nimeuona mzigo mpyaaaaa. Hatari
Yeah todaytvseries2.com wako vizuri,file size ndogo na good quality
Ukitaka ladha tofauti ya kuangalia kuhusu binadam angalie Siren,ukitaka kuangalia vitu vye ye siri ambavyo unataman kujua mbele itakuaje angalia Crossing,,counterpart cjaangalia bado wala sijui ina husu nn..Kuna mtuu kachekii serin,the crossing na counterpart vipi hi mizigo inaieleweka?
Hii na kwa pc au cm,kama ni cm nipe link nijarib kuilinganisha na terreriumYeah todaytvseries2.com wako vizuri,file size ndogo na good quality
todaytvseries2.comHii na kwa pc au cm,kama ni cm nipe link nijarib kuilinganisha na terrerium
Aaaaj sawa mkuu ngoja nipakueUkitaka ladha tofauti ya kuangalia kuhusu binadam angalie Siren,ukitaka kuangalia vitu vye ye siri ambavyo unataman kujua mbele itakuaje angalia Crossing,,counterpart cjaangalia bado wala sijui ina husu nn..
The Crossing episode 8 kwenye chimbo langu sijaiona,naombeni link nipakue.Nimeuona mzigo mpyaaaaa. Hatari
Episode ya 8 hadi leo haijatokaInaendelea kutoka lakini
Sikua naijua hii,naona ina MB CHACHE SANA.Yeah todaytvseries2.com wako vizuri,file size ndogo na good quality
The Crossing inatia nyege kuifatilia ITAKUWAJEUkitaka ladha tofauti ya kuangalia kuhusu binadam angalie Siren,ukitaka kuangalia vitu vye ye siri ambavyo unataman kujua mbele itakuaje angalia Crossing,,counterpart cjaangalia bado wala sijui ina husu nn..
The Crossing ninaifatilia ni nzuriKuna mtuu kachekii serin,the crossing na counterpart vipi hi mizigo inaieleweka?
Nashukuru,naenda nayo sawa nipo episode ya 7.Karibu mkuu
Inatoka next week tarehe 28 but kiuhalisia haitaendelea baada ya season 01Episode ya 8 hadi leo haijatoka
Mm nmeshindwa kuitumia hii,sijui kwa nn kwa kwel maana natafuta mahal pa kusurch au niandike jina la muv napakosa,halaf ktk sim nmeshindwa kuiweke iwe kama app kbsa,msaada plz nijarb ladha nyingine japo najua inaweza isifikie utam wa terreriumSikua naijua hii,naona ina MB CHACHE SANA.
Huyu dada kila series anayohusika inakatia katikati daaah nikiikumbuka APD daahInatoka next week tarehe 28 but kiuhalisia haitaendelea baada ya season 01
Kwenye app ya terrarium tv, ambayo ipo play store, ipo Season 2 epsode kuanzi epsode ya 1 had 6!!,Mwenye kiunganishi cha uhakika ambachoo naweza kupakua "la casa de papel" S02 tafadhali.
Kaka ...