Series (Special thread)

Series (Special thread)

Download app ya terrarium TV hukp google search utaipata
Mkuu nili download hiyo app nakikaweza pata episode 4 Sasa tatizo episode ya 5 ya 7 na ya 10 zinagoma ku download sometimes inafika hadi70% ina kata daah yani kwa utamu was professor mpaka kazi haziendii nifanyaje mkuu .maana nijaribu kutafuta kwenye lime torrent nayo zinakuja nyingi mpaka sijui no download hipi?
 
Copy link Nenda ka download kwa browser yoyote ile. Halafu karibu link mbalimbali jomba
 
Prof yuko vzuri sana....but don't compare with Michael please. Brain iliyotumika kwenye prison break ni 10times ya Money heist

And why do you compare 5 seasons with > 80 epsd and 2 seasons with < 25 epsd.

Let's respect Prison break
Naunga mkono hoja hii,ogopa mpango wote umehifadhiwa ndani ya tattoo mwilin na inakwenda kufanya kazi barabara,,katika epsode nayoikubali ni kuifikia sila ktk season 4 ep 12.. Ha ha ha

Best mind in the world design the security system and u almost bit it..[emoji2] [emoji2]

Frastresion must be killing you[emoji7] [emoji7] [emoji7] you blow it
Actualy there is only one missing of pazzle and you just broght it to me[emoji12] [emoji12]

Im not sure what you talking about[emoji21] [emoji21]

Your sila Card now[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Not what ur expected[emoji3] [emoji3]
What i expected of man like you,is the system ur have gat all your advantage[emoji3] [emoji3]
Looks like few cards shot[emoji19] [emoji19]
Suck General[emoji7] [emoji7]
How did you get all five cards[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Fustration must be killing u
 
Azima,muhaya yule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli ile series haina maovu unatazama na watoto wako,fresh kabisa. That's why I love it. Naisubiri irudi
Achana na Azima Kandie I meant Christina a.k.a Alisha Granderson.

Ka Azima na lipete lake puani, duuuh!!!
 
Kwa mpenzi wa series kwa kipindi hichi tenga muda, download La Casa de Papel au money heist kama inavyojulikana, Then subiri weekend futa ratiba zako zote maana ukiianza hii kitu hubanduki. Hii kitu imekaa vizuri aisee, hata prison break haioni ndani kwa hii kitu. Its amazing!!.Pia usichukue iliyotafsiriwa kwa kiingereza, Chukua yenye spanish na subtitle za english ndio utaifaidi. Bella Ciao.......
Duh mkuu yani nlikuwa nasechi series gani nyingine nicheki nikakutana na hii comment na kuitendea kazi, La Casa De Papel ni moto wa kuotea mbali.....

Kwa ambao bado hawajaipakua ipakueni hapa
 
Most people popped their cherries of tv series with prison break and thought its the greatest series they ever watched! I mean really? Once you finish the second season there nothing more interesting rather than some far fetched make believe! I have watched a lot of tv series since prison break and all i can say its not even in my top ten! Series like 24, lost, breaking bad, GoT, House of cards,The wire, The sopranos, Six feet under, Homeland, The americans,Mad men, Fargo (s2) and many more. All the above shows are better written better character development and i can say they better than prison break
 
Ni kweli yaani. Prison break ndio vile tu watu mnaikuza sana,lakini mmmh. Zipo ambazo prison break haioni ndani.
 
Ni kweli yaani. Prison break ndio vile tu watu mnaikuza sana,lakini mmmh. Zipo ambazo prison break haioni ndani.
No offense, kibongo bongo watu wengi walianza kufuatilia series za USA kwa kuangalia prison break. Halafu from there hawajacheki shows nyingine kali so wanajikuta wanasifia prison break miaka yote ila kiukweli ile series ilikua extended sana hadi ikawa ya kawaida. Hamna kitu pale
 
Yaani hii series sijaielewa kabisa imebidi niifute tu
Sishangai kbsa kuifuta,ila kuna muda mdomo au akili inahitaj vitu tofauti,napenda sana series za kijasus na wale mabingwa wa kuhuck mashirika na nchi kabsa,lakin kuna muda napenda kuangalia ladha tofauti kdgo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
No offense, kibongo bongo watu wengi walianza kufuatilia series za USA kwa kuangalia prison break. Halafu from there hawajacheki shows nyingine kali so wanajikuta wanasifia prison break miaka yote ila kiukweli ile series ilikua extended sana hadi ikawa ya kawaida. Hamna kitu pale
Hapa nimekuelewa. Mishe za mtu kubatuliwa na umeme halafu aje awe mzima[emoji44] hawezi elewa movie zingine
 
Sishangai kbsa kuifuta,ila kuna muda mdomo au akili inahitaj vitu tofauti,napenda sana series za kijasus na wale mabingwa wa kuhuck mashirika na nchi kabsa,lakin kuna muda napenda kuangalia ladha tofauti kdgo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Halafu wameongezeka wa 2 wakike na wakiume wanamtaka kumrudisha ryn kwa nguvu. Wasioieleea pole yao. Mbona haina twist za kuvuruga??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom