Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,213
- 9,712
Oyaaaa babaaa ni balaaa juu ya balaaa
Oyaaaa babaaa ni balaaa juu ya balaaa
Tujiandae na ushoga mwingiFrom wameuza haki za matangazo kwa netflix so now tutapata from msimu mpya ukiwa ndani ya netflix
Kabisa so powa 😃😄😁Tujiandae na ushoga mwingi
Hii series tangu niangalie season 2 sijawahi kuwa na mzuka nayo ya kuendelea kuifuatilia.From wameuza haki za matangazo kwa netflix so now tutapata from msimu mpya ukiwa ndani ya netflix
Night agent season 2 ni upuuzi mtupuHii series tangu niangalie season 2 sijawahi kuwa na mzuka nayo ya kuendelea kuifuatilia.
Kuna hii na ile Night Agent yani season 2 zao hadi leo sijawahi kuziangalia.
Aloo kweli?Night agent season 2 ni upuuzi mtu