Ha ha ha haaa.Dah hii the crossing wamenivuruga
Kati ya
HARD SUN
ABSENTIA
NA MONEY HEIST IPI INAZE KUPAKULIWA
s1 mwisho 13. Anza kudownload s02 ndio mwendelezoM
Mwenye episode ya 14 na 15 za La casa de papel anijuze wakuu ninazihitaji sijaziangalia na sizipati mtandaoni.
Kaka ...
Mkuu season two yenye sub title link pleases1 mwisho 13. Anza kudownload s02 ndio mwendelezo
Karibu mkuuNaomben mniunganishe kwenye group LA whatsapp Kama lipo 0716801600
Karibu mkuuAliyeniambia nikaishushe Deep State nasema ASANTE SANA.
Kwa mpenzi wa series kwa kipindi hichi tenga muda, download La Casa de Papel au money heist kama inavyojulikana, Then subiri weekend futa ratiba zako zote maana ukiianza hii kitu hubanduki. Hii kitu imekaa vizuri aisee, hata prison break haioni ndani kwa hii kitu. Its amazing!!.Pia usichukue iliyotafsiriwa kwa kiingereza, Chukua yenye spanish na subtitle za english ndio utaifaidi. Bella Ciao.......
Inaendelea kutoka lakiniHa ha ha haaa.
Reece
Kuna mtu ameitizama VALOR, The LOOMING TOWER?
Wakuu money season 2 nimejaribu kuchekii Bobby movies haina sub title as well as terrarium tv,pirates by naweza pata wapi yenye sub title na wasilisha please maana lugha gongana na utamu wa Berlin na professor unanichanganya!!
Owk bro, yapi ipo vizuri sanaNimeanza kuangalia valor, naona iko vizuri.
Kaka ...
Itapendeza mkuu kama ntaweza ku insertMimi nina subtitles zake. Naweza kuweka hapa?
Kaka ...
Nimeuona mzigo mpyaaaaa. HatariAliyeniambia nikaishushe Deep State nasema ASANTE SANA.
Muwe mnapitia madesa ya nyumba kidogo, mbona tumeongelea sana kuhusu subtitles!!! Download MX player huko utapataItapendeza mkuu kama ntaweza ku insert
Download kwenye limetorrent kuna file lina s01 & 02 chagua s02 linasubtitle fullItapendeza mkuu kama ntaweza ku insert
Sawa mkuuDownload kwenye limetorrent kuna file lina s01 & 02 chagua s02 linasubtitle full