Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Tell me about it..nzuri eeh?Fauda
Tell me about it..nzuri eeh?Fauda
Hata mm nmeona maruwe ruwe nikabak na terrerium yng
humu kuna wadau wanajua ila ndo hivyo sijui hawatuoniWatakujahumu kuna wadau wanajua ila ndo hivyo sijui hawatuoni
Sijaechek ndo nipo kwenye harakati za kuishushaTell me about it..nzuri eeh?

Hebu nielekeze terrerium una download vip??Terrarium for life.
Kwenyw kale kamshale au pembe tatu chini kbsa upande wa kulia una ka click zitakuja size na option za kuipakuaMnaotumia terrerium tv option ya download mnaipata wap?
Mm nikiclick hazij hizo optionKwenyw kale kamshale au pembe tatu chini kbsa upande wa kulia una ka click zitakuja size na option za kuipakua
Ahsante mkuu nimeona banahKwenyw kale kamshale au pembe tatu chini kbsa upande wa kulia una ka click zitakuja size na option za kuipakua
Mimi ndo nimejaribu mpakaUnafanyaje kudownload toka pirate Bay kwa kutumia simu mbona mimi ni utata mtupu nimeshindwa![]()
vp kwa pc inakuwa na muonekano mzuri?Mkuu nakushauri hiyo todaytvseries2.com
Japo ads ni nyingi sana lakini ukitumia browser kama Phx au zilizotoka na simu haitakupa shida. Zinaanzia mb 150-225
Unafanyaje kudownload toka pirate Bay kwa kutumia simu mbona mimi ni utata mtupu nimeshindwa![]()
Tayari mlisha-install torrent?! Kama bado, hiyo ndiyo sababu kwanini mnashindwa ku-download kutokea Pirate Bay (and all torrent sites)!Hata mm nmeona maruwe ruwe nikabak na terrerium yng
Tunatakiwa ku install tolerate kumbe duu..Tayari mlisha-install torrent?! Kama bado, hiyo ndiyo sababu kwanini mnashindwa ku-download kutokea Pirate Bay (and all torrent sites)!
Kama mlisha-install torrent na bado huwezi ku-download; hilo ni jipya kwangu!
Una install from where mkuuTayari mlisha-install torrent?! Kama bado, hiyo ndiyo sababu kwanini mnashindwa ku-download kutokea Pirate Bay (and all torrent sites)!
Kama mlisha-install torrent na bado huwezi ku-download; hilo ni jipya kwangu!
Kama unatumia Android phone, unaweza ku-install from Play Store... type TORRENTUna install from where mkuu