Series (Special thread)

Series (Special thread)

Yahusu nn
Ni story nzuri inawahusu mermaid, mmoja anakamatwa anapelekwa katika kituo cha utafiti cha wanajeshi. Lakini historia inasema wengine wana waua,na kwa wa sasa wanamtaka kuwalinda. Nzuri tho
 
Napenda kujua latest series ambayo iko walau episode ya 2 au 3.
Napata shida kufatilia series ambayo iko mbali naona kero kuishusha.
Recently nafatilia The Crossing,kila jumanne naishusha mwenyewe nipo episode ya 5.
Any other series?
Hata mimi zikiwa nyingi aisee siwezi mzuka unakata
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hata mimi zikiwa nyingi aisee siwezi mzuka unakata
Ukiacha ambazo huwa nazipata zikiwa downloaded kutoka kwa wenzangu.
Nadhani The Brave na The Crossing ndo ambazo nimeweza kuzimudu kwa kuzishusha mwenyewe,pua niliziwah episodes za kwanza.
Siku hizi imenibidi niwe naangalia mwenyewe newly series
 
Napenda kujua latest series ambayo iko walau episode ya 2 au 3.
Napata shida kufatilia series ambayo iko mbali naona kero kuishusha.
Recently nafatilia The Crossing,kila jumanne naishusha mwenyewe nipo episode ya 5.
Any other series?
Angalia hii inaitwa Deep state iko episode ya 5 pia
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nakumbuka nilipoiweka hapa at first hukuwa interested nayo any way ushafika kisiwani mke mwenza wa Raquel
sio kama sikuipenda,sikuifatiliza so sikuwa na comment ya kuipenda au lah. Hatari lazima nimpindue Raquel, mi nataka kufanya money heist bana...
 
Daaah mkuu umeishia mbali sana, ile nadhani ni season three kama sikosei. Sasa huku mbele ndo Homeland ilikuja kuwa tamu, binafsi nilianza kuifadi kuanzia season four.
Kule mwanzo kwa kina Sergeant Brody walikua wananiboa kimtindo.
Hii niliiachaga kitambo but seems imerudi kivingine. Ngoja nimalizie viporo vyangu then nairudia faster! Ntaanzia season 3 japo Brody nami ckumkubali kiivo!
 
Hii niliiachaga kitambo but seems imerudi kivingine. Ngoja nimalizie viporo vyangu then nairudia faster! Ntaanzia season 3 japo Brody nami ckumkubali kiivo!
Duh Brody hukumkubali?mimi hamu ya kuangalia iliishaga baada ya BRODY kunyongwa.last week nimemaliza season 6.
 
Duh Brody hukumkubali?mimi hamu ya kuangalia iliishaga baada ya BRODY kunyongwa.last week nimemaliza season 6.
Mwanzoni ckumuelewa saana! Hii niliiangalia hope 2013 so niliiacha nikawa busy na 24 Hrs, ngoja niikomalie.
 
Mwanzoni ckumuelewa saana! Hii niliiangalia hope 2013 so niliiacha nikawa busy na 24 Hrs, ngoja niikomalie.
Brody aliteseka sana utamkubali sana jamaa,hakukua na option ilibidi anyongwe maana hakuna mahali alikua anaaminika hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom