Series (Special thread)

Series (Special thread)

Jaman msaada
Naombeni mnielekeze jinsi ya kupata series ya money heist uenye soundtrack ya kiingeraza (English) maaana kusoma subtitle najikuta action nyngne znanipita
Cc Maserati, Leonard da vinci na wengne
 
sio kama sikuipenda,sikuifatiliza so sikuwa na comment ya kuipenda au lah. Hatari lazima nimpindue Raquel, mi nataka kufanya money heist bana...
Tokyo: It's worst if it goes well. What the fu** are we going to do with so much dough?

Denver: I will buy a Maserati.
Screenshot_20180506-182013_MX%20Player.jpg
20180506_182048.jpg
 
Jaman msaada
Naombeni mnielekeze jinsi ya kupata series ya money heist uenye soundtrack ya kiingeraza (English) maaana kusoma subtitle najikuta action nyngne znanipita
Cc Maserati, Leonard da vinci na wengne
Hata sijui.mie nilikuwa na enjoy spaniora tu
 
Mbona into the badlands S03E03 imechelewa kutoka hivi?

Kuna mtu mwenye update?
 
Habari zenu wakuu!?
Naomba kwa aliye morogoro kama anaweza nipatia series na movie kadhaa zakuangalia maana nilipata majanga yakuibiwa device zangu(laptop na external drive🙁). natanguliza shukrani.
 
The Americans imekaribia mwisho, huko Chicago walipoenda ndo wanaenda gundulika

Mkuu huu mzigo bado sana ndiyo kwanza tuko episode ya 06, bado episode 7 mkuu...!

Sipatii picha huko Chicago patakuwaje..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom