Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Endelea kuiangalia mama.. utaenjoy sana.
Naifurahia kwakweli... kipindi kile sikuicheki
Endelea kuiangalia mama.. utaenjoy sana.
Naifurahia kwakweli... kipindi kile sikuicheki
Money heistKati ya
HARD SUN
ABSENTIA
NA MONEY HEIST IPI INAZE KUPAKULIWA
Duh!!!! Series zangu 3.Zimekuwa Cancelled na ABC
The Brave
Designated survivor
Quantico
Lucifer
Taken
The Crossing

Imefikia mpaka ya 6Mdau hii imenikamata sana.
Umeshusha hadi eps ya ngap?!
Haijawahi muache mtu salama mipango ya professor...Niliona Kuna mdau alitupia series moja inaitwa money heist nimecheck ipo bomba ile mbaya.
Yaani wamenikera mie ABC jamaniAseeee naona series Kali zote wamezicancel

Welcome backKaribu mwaka umepita sikuwahi kuiangala Breaking Bad.... Leo nimeikuta katika files zangu nimeanza kuiangalia Duh najuta kutotilia maanani maoni yenu...
Ni the best aisee,
Prof ana akili nyingi sanaHaijawahi muache mtu salama mipango ya professor...
Hiyo na money heist ipii nianze kuchekii mkuuKaribu mwaka umepita sikuwahi kuiangala Breaking Bad.... Leo nimeikuta katika files zangu nimeanza kuiangalia Duh najuta kutotilia maanani maoni yenu...
Ni the best aisee,
Ha ha ha ha ha. Halafu season 03 ni mpaka 2019Nilishaichukua namalizia season one jmos yote sikutoka nilikywa nipo ndani na hii kitu ni tamu sanaaa
Kama kuna nyingine inayotumia akili kama hii iwe na muendelezo wa matukio
Money heist weuweeeHiyo na money heist ipii nianze kuchekii mkuu
Nishakubali kuolewa nae tufanye money heistProf ana akili nyingi sana




Kitambo tunadunda nayo.Kama mtu hajaichekii mc mafia aloooh umekosa utamu Russian flavour.. Russian accent
Unajua vitu vizuri naomba uniambie nyingine nzuri. Into the badland nasubiri ifike angalau e06 moja moja hainogiNishakubali kuolewa nae tufanye money heist![]()
Asantee mkuuCheki breaking bad ni nzur sanaaa
2 ina EPs 06...Seson 2 ina epids ngap jaman
Alfu series gan nyingine kali yenye akili kama hii
Chandler ushampitia?the last ship?Unajua vitu vizuri naomba uniambie nyingine nzuri. Into the badland nasubiri ifike angalau e06 moja moja hainogi
Karibu sana katika ulimwengu wa WWW Heinselberg,Gustavo,Turco na jesse pinkman ukimaliza pambana na money heistKaribu mwaka umepita sikuwahi kuiangala Breaking Bad.... Leo nimeikuta katika files zangu nimeanza kuiangalia Duh najuta kutotilia maanani maoni yenu...
Ni the best aisee,