Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna Series nyingine inaitwa Ozark, trust trust hatari

Ozark money laundry nimeangalia season 1 tu, sijaifwatilia tena.

Kuna madame secretary season ya kwanza sikumaliza iliniboa labda kama kuna mtu ameangalia anipe utamu wake.
 
Pole sana, ile ya Berlin! Peter Quinn amekufa kwenye season ya 06.

S06
Uchaguzi umefanyika USA, amechaguliwa rais mwanamke Elizabeth Keane,Dar Adal na genge lake ndani ya CIA wanamchezesha kanabanzo huyu rais mteule kwa kutokukubaliana na sera zake, kitu ambacho baadae aliamua kuwafunga wote. Siku ya iliyopangwa kumuua huyu mama Carrier pamoja na Peter wanamtorosha kwenye gari kutoka hotel aliyokuwa anakaa maana alikuwa bado hajaapishwa, ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kumwona Peter kwenye homeland.

S05
Baada ya Saul na timu yake kumuua yule double agent wa Russia Allison Carr aliyekuwa CIA station chief Berlin,aliyekuwa anatoroshwa kwenye gari kutoka Berlin kwenda Moscow, baada ya kupewa siri na (arch bishop) the head of Russia intelligence in Berlin station.

S07
Russia wamelipiza kwa kutengeneza machafuko ndani ya USA kama yale ya Ukraine kwa kutumia madhaifu ya rais Elizabeth Keane, Saul amegundua hilo na kumtafuta arch bishop ambaye alikuwa nje ya kampuni kutokana na ule msala wa kuvujisha zile nyaraka za Allison Carr.

Pata nafasi uitafute, hasa upate copy safi yenye picture quality 720 au 1080 full hd, bar watakusahau kwa muda.

The Americans pia imerudi, zile shughuli za KGB vs FBI miaka hiyo.
Mkuu mimi niliishia ile proad ananyongwa, nilihisi ndio mwisho kwani imeendelea?? Je ile iliyoishia jack proad ananyongwa ni season ya ngapi?
 
Mkuu mimi niliishia ile proad ananyongwa, nilihisi ndio mwisho kwani imeendelea?? Je ile iliyoishia jack proad ananyongwa ni season ya ngapi?
Daaah mkuu umeishia mbali sana, ile nadhani ni season three kama sikosei. Sasa huku mbele ndo Homeland ilikuja kuwa tamu, binafsi nilianza kuifadi kuanzia season four.
Kule mwanzo kwa kina Sergeant Brody walikua wananiboa kimtindo.
 
Daaah mkuu umeishia mbali sana, ile nadhani ni season three kama sikosei. Sasa huku mbele ndo Homeland ilikuja kuwa tamu, binafsi nilianza kuifadi kuanzia season four.
Kule mwanzo kwa kina Sergeant Brody walikua wananiboa kimtindo.
Ebwanaeee, shukran mkuu, mm niliielewa sana na mpk prody ananyongwa nilijua ndio mwisho wa series kumbe vitu vimeshushwa zaidi ngoja niandae bando.
 
JAHA ni survivor kila season anabadilika tu season ya 3 alivyokuja na vile vidonge nilikuwa simkubali kbs
IMG_20180502_232804.jpg
 
Natafuta mtu mmoja anipe homeland kuanzia season one mpaka mwisho +the american


Msaada wajameni
 
Mkuu mimi niliishia ile proad ananyongwa, nilihisi ndio mwisho kwani imeendelea?? Je ile iliyoishia jack proad ananyongwa ni season ya ngapi?

Mkuu yule siyo jack proad, yule anaitwa nicholas brody kwenye season ya tatu mkuu.

Na jamaa hakunyongwa waraabu waliwahadaa wamarekani tu, kwenye season ya 4 episode ya 7 Pakistan intelligence services (ISI) waliwakutanisha carrie na brody kwenye self house yaliokuwa makazi ya general wa jeshi la Pakistan.

Season ya 4 carrie anakuwa ni station chief kabul, Afghanistan, alipewa information ambazo hazikuwa sahihi na CIA station chief wa Pakistan Sandy Bachman, kuhusu uwepo wa gaidi aliyekuwa anawindwa na wamarekani kwa udi na uvumba Haissam Haqqani kwenye eneo ambalo halikuwa sahihi anaua innocent people waliokuwa kwenye harusi kwa drone. (Anafahamika kama drone queen)

Haissam Haqqani alikuwa ni mtu ambaye alitengenezwa Saul na Dar Adal kwa lengo la kumuyumbisha head wa CIA pale Langley,senator aliteuliwa na rais kuiongoza CIA. Hivyo Saul na Mwanae Dar Adal hawakuwa na kazi zaidi ya kupiga fitina.

ISI wanamtengeneza mme wa balozi wa USA pale Pakistan kuwa informer wa kuwapa taarifa nyeti juu ya mipango ya CIA pale Pakistan na alifanikiwa kuwaonyesha safe house za CIA.

Quin alipewa mission ya syria, carrie alifanikiwa kutega bomu la kumuua Hissam kwenye mlango wa gate lake, ile anataka kulipua general akamwambia usilipue angalia kwenye gari amekaa nani, kuangalia anamkuta Dar Adal amekaa siti ya nyuma wanapiga story. Carrie alibaki mdomo wazi.

Season ya 5 na ilikuwa ni Berlin, nimeshaielezea mkuu na 06 nayo nimeshaigusia.

Season ya 07 iliyoisha juzi. Warusi wamemfanya mbaya carrie kawa kichaaa. Lakini pia wamemchafua rais wa marekani ambavyo ameamua kuresign kwenye hiyo nafasi yake. Dar Adal bado yuko kwenye federal prison.

Homeland is my favorite show all the time.
Gideon Raff huyu mwiziraiel anajua kuandika story na kudirect.
 
Natafuta mtu mmoja anipe homeland kuanzia season one mpaka mwisho +the american


Msaada wajameni

Nichek PM

The Americans ipo yote, ila homeland kuna baadhi ya season inabidi nizishushe hasa hizo za nyuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom