zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,214
- 1,913
Imerudi?
Ndiyo imerudi, tuko S07E10
Imerudi?
Daah inabidi niitafute niliishia S5Ndiyo imerudi, tuko S07E10
Daah inabidi niitafute niliishia S5
Kama strike back mkuu action za kutoshaHii ipo kama strike back kila episode tukio lake au ina story?
Yaa nam ndo nmeimaliza hapa,japo nilitaka lile rungu lake ndo limmalize lakin naona kbsa kuna muendelezo wa Season mpyaHatimae negan kawa defeatedView attachment 749327
Umeshaipata hiyo menu? Msaada pleaseNipe hyo menu ya halo mkuu ya bando hilo
*148*66# halotel kuanzia saa 6 usikuUmeshaipata hiyo menu? Msaada please
Thanx*148*66# halotel kuanzia saa 6 usiku
Blackish na GrownishK
Kuna OZ
Mi Napenda Spanish ile ile aisee
Kaka Homeland hatari SANA, angalia hutajutia. Mimi nilianzanayo mpaka sasa nasubiri jumapili inaendelea episode 11 nione songombingo la mwanadada jasusi Carry Mathison.Wakuu nimeanza kuangalia homeland maana series zangu kama Power,GOT, queen of the south, into the badlands,brave hazijaanza kutoka kwaio nauliza iko poa kuichek hii homeland nisije poteza mda
Sanaa yaaniLugha ya Spanish nimetokea kuipenda the way wanavyotamka matamshi yao...tamu sana ukisikiliza huku unafatilia subtitle.
Sanaa yaani
Chief naeza pata link ya whtsapp series group???Kama strike back mkuu action za kutosha
Hii ndiyo series yangu #1 ! Tupo S06 na ndo ya mwisho labda waifanyie twisting hapo baadae!Daah napitwa ...The Americans nayo inanihusu niitafute mapema zacha
Homeland nimeangalia hadi season 5 ni nzuri sana.Wakuu nimeanza kuangalia homeland maana series zangu kama Power,GOT, queen of the south, into the badlands,brave hazijaanza kutoka kwaio nauliza iko poa kuichek hii homeland nisije poteza mda