Series (Special thread)

:p..ha ha ha na mimi nilikuwa hivyo hivyo najiuliza season 2 imetoka halafu sijamalizia episod 14 & 15...kuna kucheki NETFLIX imeishia hapo hapo..kama ukiangalia vizuri episode ya 13 wanasema to be continued.

ukimaliza seaso ya 2 jaribu kuchungulia hii kitu LA REINA DEL SUR ni ya kispanish na mexico bado nipo season ya 1 ipo mpaka episode 40..
Hii LA REINA ina maudhui gani?
 
Yes,niliona.Yaani nimefurahi mno.

Episode 40!!?mmmh hiyo inahusu nini?[/QUOTI

Inafanana kidogo na Queen of the South kama umeshaicheki...hiyo mwanzo mwisho utamu..nimemaliza jana mpaka episode 63 imeishia. Wamexico na Spanish sidhani kama watakuja kuacha Drugs kwa kweli.
 
Hii LA REINA ina maudhui gani?

kuna mwanadada mmoja anaitwa Teresa Mendoza jamaa yake anauliwa na drugs dealer baada ya kumgundua kuwa ni askari..anakimbia kwenda Spain huko anakuwa yeye queen wa drugs...mchezo unakuwa hapo anavyowindwa na FBI NA wamexico wamuue.
 
Hizi ndo makitu zangu japo inataka kuwa na maudhui ya Queen of the South. Ngoja nitaichungulia
 
kuna mwanadada mmoja anaitwa Teresa Mendoza jamaa yake anauliwa na drugs dealer baada ya kumgundua kuwa ni askari..anakimbia kwenda Spain huko anakuwa yeye queen wa drugs...mchezo unakuwa hapo anavyowindwa na FBI NA wamexico wamuue.
Aisee Terrarium hawana hii kitu naambiwa no link available, naipakuaje rafiki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom