Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sana yaani. Sipendi vilazaRaquel kachanganyikiwa. Season 03 mwakani

Dah mwakani mbona mbali asee....tuombe uzima kama ndio hivyo...ila naisububiria POWER maana hizo mbili ndio best kwa sasa hivi.
 
Homeland imeisha na utamu....Showtime wapo vzr sana kwny series hata ukiangalia Billions sio mchezo
 
Yule Carrie ni noma, yaani yeye anajali kazi yake tuu, kuliko hata maisha yake mwenyewe, yupo tayari kufanya lolote ili mradi kazi yake iende.

Carrie warusia wamemfanya vibaya, kawa kichaaa!!
 
Mimi huwa nadownload kwenye cm natupia kwenye flash kisha na nachomeka kwenye TV.
Shida natamani niweze kuangalia na subtitle lakini imekua ni changamoto!.
Tuelekezane wajomba maana sometimes kingereza kinachoongewa nashindwa kuwaelewa moja kwa moja!
Download MX player utapata bila tabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom