jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 10,962
- 10,610
Hii mkuu ni power struggle katika jiji la Marseille, kuna mambo ya rushwa, ugaidi, madawa ya kulevya, sex, siasa, maisha ya ujumla na uongozi wa jiji la Marseille, ni ya kifaransa yenye subtitles za kiingereza..Marseille kuna waarabu na waafrika wengi sana, nakushauri uitazame, imetulia, ya kiutu uzima..Inahusu nini hii mkuu
Nzuri sana..
