Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,979
- 2,494
Haha, alafu nisaidie majina ya comedy tamutamuAQkuuuu. The handsome boy McG
Haha, alafu nisaidie majina ya comedy tamutamuAQkuuuu. The handsome boy McG
Asante mkuu ngoja niicheki. Nilikua natumia 1337x.io ila episode kuanzia ya sita ina behind the scene tu. Ngoja nijaribu hii yako Pung'o boyBado inaendelea kutoka, natumia eztv.ag kudownload ila had uwe na torrent
Series gani hiyo umeikosa humo?Asante mkuu ngoja niicheki. Nilikua natumia 1337x.io ila episode kuanzia ya sita ina behind the scene tu. Ngoja nijaribu hii yako Pung'o boy
Yan unataka compare blindspot na uchaf gan uoKama kwa blindspot
Ha ha ha ha ha...jamaniYan unataka compare blindspot na uchaf gan uo
I'm not funny wa comedy aiseee. Mie naipenda midundano,nakos kwa kwenda mbele tu.Haha, alafu nisaidie majina ya comedy tamutamu
Masee lala mamii me kesho unipe rist ya series za drgs na intelligence, cna ktu ya kuangalia this weekendHa ha ha ha ha...jamani
he he he he he he he he heeeMasee lala mamii me kesho unipe rist ya series za drgs na intelligence, cna ktu ya kuangalia this weekend
Mase nkajua unalalahe he he he he he he he heee
sasa hivi Nataka niitazame designated kwanza
Iyo cjaitia kwa radar zangu badoVipi hivi hii series inayoonyweshwa na azam inatwa secret au kayip ninaweza kuidownload wapi? Msaada jamani
P.I Jessica Jones Season 2View attachment 709000
Kubwa sana hyo,weka hata mb 200 maana mm natumia muda mwingine pad au simu natumia 190mb fresh bonge ya hdUkubwa ni 500mb mkuu kwa episode through tererium tv
Yes,kile kisa cha nyuma ya paziaKama kwa blindspot
Yes,kile kisa cha nyuma ya paziaKama kwa blindspot
Mi kwangu blindspot hainiing kama kumuona Dembe na Redingtone wanavyoweza kuigeuza fbi kama tawi lao,achana kbsa na yule Red ana akili za sayari nyingine halaf anawatumia hao hao fbi kuendeleza mambo yake...khaaaYan unataka compare blindspot na uchaf gan uo
Ko unaikubari ni best series or not?Mi kwangu blindspot hainiing kama kumuona Dembe na Redingtone wanavyoweza kuigeuza fbi kama tawi lao,achana kbsa na yule Red ana akili za sayari nyingine halaf anawatumia hao hao fbi kuendeleza mambo yake...khaaa
Kweli nimejagundua series za kulaza story ndio kimeo zaidi.. Bora picha kama the brave kila epsod ni mission yakemie naipenda zote zote tu,sana sana kilaza tukio kivyake na liishe