Series (Special thread)

ungekuwa karibu ningekupa cd mm ninazo zote, alininunulia wife nikajua ni nzuri kumbe hovyo yote nmeyaacha ndan tu...

Ninapo angalia series za rome huwa najaribu kupata picha halisi iliyo kuwepo wakati hua, japokuwa sio kila kitu ni kweli ila zinafundisha mambo mengi tu ya wakati huo.

Hauna interest na SPARTACUS au aina hii ya series, mie nnapenda sababu nnajifunza.
 
Ancient stories ni nzur sana
 
Ninapo angalia series za rome huwa najaribu kupata picha halisi iliyo kuwepo wakati hua, japokuwa sio kila kitu ni kweli ila zinafundisha mambo mengi tu ya wakati huo.

Hauna interest na SPARTACUS au aina hii ya series, mie nnapenda sababu nnajifunza.

kiukweli series za mapanga sizipend napenda sana zile za kijasusi au za ukachelo zaidi, ujambaz wa akili zaidi kama blacklist , 24 hrs na zingnezo
 
kula like, yaani mm walaaa hazinifurahishi hata robo jamani
 
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
hizo ni baadhi tu

-24
-transporter
-arrow
-strike
-siri ya mtungi
-jumong
-king gwangaeto
na mengine mengi. Wadau waendeleze.
 
agents.jpg kyle xy.jpg niktia.jpg planet.jpg
 
halafu? Utakuwa umeiangali 24 hrs mm nimetoka kuiangalia jana ile season namba 7. Vp mbona fupi sana? Imechezewa Africa lakn ni fupi mno au mm nmeikosea?

Ile sio yenyewe ile ilikua kama movie,ishu yenyewe inaendelea Jack anashtakiwa kwa kutumia extreme measures ktk upelelezi wake...then kuna threat inatokea ikiihusisha white house na FBI wanaomba kesi iahirishwe ili Bauer akasolve msanga......

24 is my lifetime series ever. Ziko season 9 lakini ukienda kwa page yao watu tunaimba #bringBackOur24
 
daaah nikita bongeeee la movie

Yeah ni tamu sana lakini kama ilivyo arrow zina uongo wa wazi wazi sana......eti Amanda anaweza kutwist akili za watu Mara anajitengenezea watu wanaofanana nae kama wanne yaani uongo wa dhahiri.
 
asante mkuu ngoja niitafute tena
 
Yeah ni tamu sana lakini kama ilivyo arrow zina uongo wa wazi wazi sana......eti Amanda anaweza kutwist akili za watu Mara anajitengenezea watu wanaofanana nae kama wanne yaani uongo wa dhahiri.

hahaaaa!! fiction inanogesha movie ati, ila mwisho wa cku anakamatika, ninaipenda sn nikita, haswaa njia walotumia kumkamata amanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom