Series (Special thread)

Series (Special thread)

Alafu nilichokuja kugundua series zinazohusu CIA hazikosi mambo ya prisoner exchange, udukuzi wa berlin, drone strike, ugomvi na agency nyingine, terrorist kupanga kulipua marekani alafu akashindwa. Yaani stori zao zinacheza umoumo
na ukifatilia zaidi likija suala la sijui army trafficking, na silaha za ajabu ajabu wanakua warussia, kujilipua waarabu likija swala la drugs bas Mexican au asian halfu wamarecan wao ndio wazee wa kuweka mambo sawa
 
wanapenda kujipa ujiko, alafu warussia ndio wanawaonea sana.
 
Ila sizipend series ambazo kila episode inakua na story yake huwa zinanikera sana
Hizi zinaboa kwa sababu ukimaliza episode moja haikuhamasishi kuangalia next episode maana hamna cha kufuatilia. Yaani kama strike back kuna muda iliniboa ila nilikomaa nayo hivyohivyo.
 
Hizi zinaboa kwa sababu ukimaliza episode moja haikuhamasishi kuangalia next episode maana hamna cha kufuatilia. Yaani kama strike back kuna muda iliniboa ila nilikomaa nayo hivyohivyo.
Kuna nyingne zinakua angalau maana kuna kua kuna story kubwa nyuma inayo connect ila nyingne zinakua zina kastory kadogo tu na hakapo interesting kama blindspot 3 ilivyo sasa had inaboa asee bora zile zilizopita
 
Wakuu niaje, na downloads series lkn ata episode haiishi bando limekata... Naomba njia munayotumia kupata gb za kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom