Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwa wale wa kuangalia online kuna site inaitwa couchtuner.rocks ipo vizuri kila kitu unapata.
 
Oi naomba msaada wa kujua wapi naweza kupakua mizigo ya kikorea ile ya kizamani mixa mishale na mapanga.. Kama zile jumong, great queen seondeok, painter of wind, baek dong soo nakadhalika.. Naomba mnisaidie wadau
 
Kwa mambo ya kikorea cheki uzi wa wakorea kule, ila jaribu 1337x.to labda inaeza ikawa nazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom