Commander Dalton
Senior Member
- Feb 10, 2018
- 198
- 262
To jazzI improvise, you follow orders!!
To jazzI improvise, you follow orders!!
Weka link maana zilizoziona episode yenye ukubwa mdogo ni 1.4 gbKuna mzigo wa seven seconds netflix wataushusha leo baadae, inaweza ikawa tamu
Haha ila huyu demu ni nyoko, hakosi shabaha, we mpe bunduki tuu.To jazz
Download Seven Seconds S01 Complete 720p HD x264 ESubs [3.9GB] [Full] Torrent | 1337xWeka link maana zilizoziona episode yenye ukubwa mdogo ni 1.4 gb
Ngoja nikaisakeNimeiangalia TROY the fall of city naona kama marudio ya movie ya troy ila wametwist story kidogo its good any way!
Inaonekana game of thrones typeNimeiangalia TROY the fall of city naona kama marudio ya movie ya troy ila wametwist story kidogo its good any way!
kuna manual way na automatic way
kama unatumia manual
utaidrag iyo subtitle episode husika na kuiweka kwenye media player yako huku movie yako umesha iplay(na suggest VLC media player)
ila njia hii sometime inaweza ikafanya subtitle na movie yako vipishane kidogo japo kuna sehemu ya kusynchronize ila ni usumbufu flani (njia hii rahisi lakini na ya fasta)
njia ya pili ya automaic synchronization
hii pia inaweza kukusaidia hata ukiweka series yako kwenye flash then ukatumia tv yako kuchek movie na subtitle itatokea yenyewe
1step : zi copy/cut and paste hizo subtitle ulizodownload kwenye kwnye folder/file husika yaani folder lenye hizo episode
2step: rename subtitle zako
nenda episode ya kwanza copy jina lake then nenda kwenye subtitle yake(yaani subtitle ya episode ya kwanza) then rename jina la subtitle kwa kupaste jina ulilocopy kutoka kwenye movie yako(episode ya kwanza)
so kwa mfano kama jina la movie ama episode yako ni Last ship s01e01 basi subtitle yako itasomeka Last ship s01e01.srt
utafanya hivyo(ku rename) kwa episode zote na utakapomaliza zitakua zimejipanga kwa order yaani episode ya kwanza chini yake subtitle yake ,episode ya pili chini yake subtitle yake and so on
ukishamaliza utaplay tu episode zako na subtitle zitatokea zenyewe
ukikwama sehemu tupe feedback
Kama huwezi, download mzigo wenye subtitles kabisa tayari.Duuu kwa sisi wahenga na tuliotumia sana SLP tutaweza Haya maelekezo yote mmmmh
Tamu kwelikweli
Japo imepoooa. Ngoja niangalie viseason vi3, ikizingua natupa kule kama PunisherNimeiangalia TROY the fall of city naona kama marudio ya movie ya troy ila wametwist story kidogo its good any way!
tupa kuleeeJapo imepoooa. Ngoja niangalie viseason vi3, ikizingua natupa kule kama Punisher
Haha Maserati naona hupatani kabisa na type hizi za series za kina GOT, last kingdom, troy na nyinginezo.tupa kuleee
Shukrani mkuu mzigo unashuka taratiibu
Mwenyewe ndio naushusha hapa, uwe mkali tuu kama trailer lakeShukrani mkuu mzigo unashuka taratiibu
Umeangalia counterpart??Mwenyewe ndio naushusha hapa, uwe mkali tuu kama trailer lake
Counterpart sijaiangalia bado, ila Maserati alisema ipo vizuri, ipo kwa listi zangu, ikimaliza S01 ntaicheki.Umeangalia counterpart??
Baby wake Pattersonmambo??Mwenyewe ndio naushusha hapa, uwe mkali tuu kama trailer lake