Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,979
- 2,494
1337x.to hawajawahi kuniangusha hawa jamaa kila series wanayo, yaani baada ya extratorrent kufungiwa mwaka jana hii site ndio mkombozi wangu.![]()
Hiyo hapo kwny torrents mm nmeipata toka asbh
1337x.to hawajawahi kuniangusha hawa jamaa kila series wanayo, yaani baada ya extratorrent kufungiwa mwaka jana hii site ndio mkombozi wangu.![]()
Hiyo hapo kwny torrents mm nmeipata toka asbh
Naona ugameofthrones humu ndani
Mambo ya HBO hayoNaona ugameofthrones humu ndani
Huko kwenye home kuna theodory bagwel(t bag) pia!Ukiangalia homeland inabidi utulie kuelewa matukio..unaweza usielewe t-bag kapewa sumu vp hii episode ya kwnz inavyoisha jamaa wana akili sana
Ndio uko ya 5 mkuu? Watu tushahit season finaleThe Brave,,episode ya 5 imeonesha Africa as civilied country,,imependeza sana,,
Na yule black man hope asife azidi kunogesha series hii,,
Yap mkuu,,, bt itaisha tu,, naenda nayo mdogomdogoNdio uko ya 5 mkuu? Watu tushahit season finale
The Last Man on Earth it's good comedy tv series...Counterpart mascience-fiction inaonekana tamu ngoja nisubiri itembeetembee kwanza.
mkuuu hii tunatumiajee?
Dah yani yule raisi anaswaga za mukulu wa bongodah bora homeland irudi
HahaUkiangalia homeland inabidi utulie kuelewa matukio..unaweza usielewe t-bag kapewa sumu vp hii episode ya kwnz inavyoisha jamaa wana akili sana
factYupo kajaa tele tena na mikono yoye mi2Huko kwenye home kuna theodory bagwel(t bag) pia!
Season ya ngapiNdio uko ya 5 mkuu? Watu tushahit season finale
The brave ina season 1 tu mkuuSeason ya ngapi