Mamii kuna kitu cha the residents, iko poa, inahusu madaktari kama the good doctor.Baba endelea baba. Hutatamani kuiacha
Nimeiona hiyoMamii kuna kitu cha the residents, iko poa, inahusu madaktari kama the good doctor.

Rich.com![]()
Blindspot
Breaking bad ina stori tamu ila sema matukio yake yanaenda slow sana, yaani kwa tuliozoea series za mikikimikiki inatupa shida. Ila nilikomaa nayo hivyohivyo.Hii breaking bad Bana ngoja nitulie labda huko mbele itanivutia maana Niko e3 naona Kama inanichosha tu
Ananichekeshaga uyu jamaa sema wanambania sana anaonekana vipande vichache tuu.Rich.com
Si alitoroka kifungoni. I love the scene aliyo mtorosha PattersonAnanichekeshaga uyu jamaa sema wanambania sana anaonekana vipande vichache tuu.
Trick yake ya kuvaa kama mbabu iliniacha hoiSi alitoroka kifungoni. I love the scene aliyo mtorosha Patterson

Counterpart mascience-fiction inaonekana tamu ngoja nisubiri itembeetembee kwanza.Kuna mzigo mpya unaitwa Counterpart umeanza this Jan una episode 2...tupeane taarifa kama yupo alietia mguu huko
Na kuna mzigo wa wachawi wachawi sijui utakuwa kama GOT unaitwa BRITANNIA wapenda hizo mambo checkini mzigo huo.
Counterpart nimecheki episode ya 1 iko vizuriKuna mzigo mpya unaitwa Counterpart umeanza this Jan una episode 2...tupeane taarifa kama yupo alietia mguu huko
Na kuna mzigo wa wachawi wachawi sijui utakuwa kama GOT unaitwa BRITANNIA wapenda hizo mambo checkini mzigo huo.
Yaani nilifurahi hatariiiiTrick yake ya kuvaa kama mbabu iliniacha hoi![]()
Nasubiri ijae jae kwanzaCounterpart mascience-fiction inaonekana tamu ngoja nisubiri itembeetembee kwanza.
Counterpart nimecheki episode ya 1 iko vizuri
S01 yake niliielewa sana, ilipofika S02 ikanitia uvivu.I didnt know kama queen of the south ni nzuri hivi
Mie imenishinda..S01 yake niliielewa sana, ilipofika S02 ikanitia uvivu.
Duh! Tuna vionjo tofauti! Binafsi niliipenda na nimeangalia mpk S3, waiting fot S4. Ipo good real!Mie imenishinda..
Tupo wengimimi mwanzoni tu imenishinda