Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,230
Max unachekesha. Pita mitaa ya Tandalie CCM. Tandika, Mbagala, Kongowe, Tuangoma, Vingunguti, watu wanaangalia kwenye Vibanda umiza, hizo bongo muvi na movie nyingine za kiDHUNGU Zikiwa zimetafsiriwa uzuuuuuur na wataaalam kutoka mwanza na arusha Infact sio tafsiri bali Ni kusimuliwa![]()


wanasimuliwa
